Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Jamani usimsemee hivyo bibi yangu.
Nahisi ni mzima sijamuona siku za hivi karibuni


Mjukuu wangu achana nae huyu mie na yy ni warabu wa pemba tunajuana kwa vilemba


bibi yako kiruka way...
vipi lakini utafiti mzima?



Mimi kiruka njia ila simzidi Asprin asee halaf eti umejuaje kama mimi kiruka njia inawezekana na kwako nilishapita
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom