yani nimwite mdogo wake mke wangu?
weee
better husband and not baby..
ha ha ha.. nimeona dodii
Ntaftie kipoozeo huko maana hata huyu haelewek kama sigara nyota
oops!!! sasa niweke nani?
Kipoozeo nipo hapa.. mbona unahangaika?
haya sasa pooza sasa kwa uwezo wako..
Unaona saa yawezekana nilikuwa wako kabisaaa ndo maana kulikuwa na kawivu
Subiri kwanza usiwe na haraka halafu na mimi pale ufuteniambie nikuweke na nani?
Bado hajaupdate maana kuna couple ambazo wameishaachana na wapo na watu wengine
Unaona saa yawezekana nilikuwa wako kabisaaa ndo maana kulikuwa na kawivu