Mwambie kaka and 100 others anajuaNitafsirie mwenzakoπ
βοΈHapa mjengoni kwa kina Max
Kwani aliyeandika ni 100? MuoneMwambie kaka and 100 others anajua
Weeee..! enzo simuwezi! Tukigombana kidogo nitakuta ashaniandikia uzi wa vichamboThibitisha wewe na Vincenzo Jr ni family.
Ni updates Uzi ππ
Kundi la wanawake ambao walikuwa wahasiriwa wa tapeli wa programu ya uchumba wanajiunga pamoja katika jaribio la kumwinda na kurejesha mamilioni ya dola ambazo ziliibiwa kutoka kwao. Hii hapa ni movie inaitwa The Tinder SwindlerKwani aliyeandika ni 100? Muone
Na wewe humtaki?Kuna ubwabwa wa kiga unahangaika ukiona id yangu, hana raha kisukari kinampandaga muda wote.!! πΉπΉπΉ
Nilishamwambia kaka zangu wameona ila hataki kukubali, sa sijui namsaidiaje π€£π€£
ππ€£πππππππππWeeee..! enzo simuwezi! Tukigombana kidogo nitakuta ashaniandikia uzi wa vichambo
AnhaaKundi la wanawake ambao walikuwa wahasiriwa wa tapeli wa programu ya uchumba wanajiunga pamoja katika jaribio la kumwinda na kurejesha mamilioni ya dola ambazo ziliibiwa kutoka kwao. Hii hapa ni movie inaitwa The Tinder Swindler
Hapo nimeelewaβKundi la wanawake ambao walikuwa wahasiriwa wa tapeli wa programu ya uchumba wanajiunga pamoja katika jaribio la kumwinda na kurejesha mamilioni ya dola ambazo ziliibiwa kutoka kwao. Hii hapa ni movie inaitwa The Tinder Swindler
Kabisa kesho ni kipigo kwenda mbele hadi waseme kwa Nini ni matapeli wa mashabiki zao hadi viongoziHa ha ha Kolo atake atafungwa asitake atafungwa hakuna namna!!
Ubwabwa mimi wa nini? Kwanza ngoja nimpotezee anatafuta kiki ya kutrend ποΈNa wewe humtaki?
Au tumsaidie akupate? kuna mbinu m'badala
Movie Kalii sana hiyoHapo nimeelewaβ
Ina mizagamuano?Movie Kalii sana hiyo