Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Jichanganye ukopwe 🤣🤣🤣🤣Miamala utaikuta huko huko aposto Hana baya bff 😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichanganye ukopwe 🤣🤣🤣🤣Miamala utaikuta huko huko aposto Hana baya bff 😹😹
Hapana aiseee!! Kupasuliwa chupa usoni na waume za watu hapana 😹😹😹Acha uoga wewe! Mi ntakuletea uji na maji
Okay afadhali yupo haiLast seen 2023 itakuwa yupo huyo
Ucheshi na sauti. Amenifanya nam miss tu.Huu uzi ndio nauona leo kwa mara ya kwanza kumbe hii jf ni zaidi ya niijuayo
Kakususiaje tena
Okay afadhali yupo haiLast seen 2023 itakuwa yupo huyo
Ipo ukigusa tu inakujaOkay afadhali yupo hai
Mkuu emoji ya kucheka unaipata wapi
marhabaa kijana mdogo
Mmekuwa wengi mpk mnanitisha nimeamua nikae pembeni hii sio kawaida 🤣🤣🤣Heeh!! mwingine tena anakutaka? nakuacha mimi upate zako hasara
Sanaa hadi najionea wivu mwenyeweKabisa Odo kwanza upo gudi ?
Hapa sasa tufanye jambo, siwezii kua single offline & online angalia Chaka lililozzagaa zagaaa nitonye niiishi naloHapana aiseee!! Kupasuliwa chupa usoni na waume za watu hapana 😹😹😹
Ndio Odo wangumarhabaa kijana mdogo
una uhakika nitakua salama huko dogo langu
Hatutoki na washenziNdio mnaishia kuuwawa
😂😂😂🙌Huyo Mwanaume Mwanamke atakuwa ametaka mwenyewe na atongozwe tu 🤣🤣
Mko wengi mnaonitaka mpk mmenitisha 🤣🤣🤣Maisha yako dhamana yangu Lamomy