Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah uzi huu wa muhimu ulinipatia my Angelicious nimekumis mama
Dah uzi huu wa muhimu ulinipatia my Angelicious nimekumis mama
Dah! nilikuwa chaka moja mbaya sijui watakuwa wameninyang'anya kiumbe wangu!!!!Hehee ulifichwa wapi we mkaka!
Asante sana mkuu vip niangalizie huko my wife hawajambeba kweli tuanze mchakato upyabraza karibu tena jukwaani..
Asante sana mkuu vip niangalizie huko my wife hawajambeba kweli tuanze mchakato upya
Hayo mambo nenda jukwaa la biashara kuleNimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.
Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.
Wow! my baby wa ukweli jitanue basiii nimekuja nimekumisije hebu twende chumbani kwanza maanaaaaaaa!Honey miss you mpaka nabanwa...
umemwona Honey Faith hapo juu?
juzi uliishia wapi wewe?