Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

umemwona Honey Faith hapo juu?
Nimemuona mtoto wa ukweli kajazia nyama za kutosha, nyonyo si za uchoyo akikuangalia unaona aibu wewe,sauti tamu ukiisika masikion wala haichoshi mikono milaini nilipata kumshika tulipoongozana kwa ndani sijui najua nje tu aaah! shemejiiiiiiiiiiiiii!!!!!......Honey Faith ni sheeeeder! dah! naomba Mungu Angelicious asione hapaaa
 
Nimesikia naitwa mie huku..kiwatengu wangu umenimiss???

Wewe nakuona....jichunge toka lini shemeji yako umeanza kumwita wako?kuwa makini kunamaradhi na mafisi ni wengi sana!
 
Nimemuona mtoto wa ukweli kajazia nyama za kutosha, nyonyo si za uchoyo akikuangalia unaona aibu wewe,sauti tamu ukiisika masikion wala haichoshi mikono milaini nilipata kumshika tulipoongozana kwa ndani sijui najua nje tu aaah! shemejiiiiiiiiiiiiii!!!!!......Honey Faith ni sheeeeder! dah! naomba Mungu Angelicious asione hapaaa

kumbeeeeeeeee.....ndo nishaona maelezo utaenda nipa kwa chumba na unyumba hakuna
 
Huu uzi ni kwa wenyeji tu ama na wageni? Mtu unapataje pair? Samahani kama hili swali litawakwaza
 
kumbeeeeeeeee.....ndo nishaona maelezo utaenda nipa kwa chumba na unyumba hakuna
Mamaa hapana mama nilikuwa nasifia kazi ya Mungu ilivyo nzuri na jinsi alivyotulia kuumba binadamu lakini sina lengo lingne huko umefika mbali my sweet potato eeeee
 
Huu uzi ni kwa wenyeji tu ama na wageni? Mtu unapataje pair? Samahani kama hili swali litawakwaza
Huu uzi wa wote wagen na weyeji, na jinsi ya kupata pair ni kmtongoza yule aliyeukonga moyo wako ambaye unaona yuko singo kutoka jukwaa lolote unamuita humu bustanini mnayajenga, na hapa ndo mahali sahihi na maalumu kwa kazi hiyo
Note: usitongoze mke wa mtu ni sumu, ukitaka kujua huyu ni mke wa mtu au sio angalia menu hiyo hapo juu na wengie watajitambulisha maana wapo wenye mahusiaano ya vichochoroni
 
Back
Top Bottom