Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Atakuwa analea tu wajukuu🤣Afadhali umeufufua
Jamaa ashachoka hayupo tena active kama mwanzo
Hata wewe ulipotea sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa analea tu wajukuu🤣Afadhali umeufufua
Jamaa ashachoka hayupo tena active kama mwanzo
Anaandaa Uzi wa supu daykiwatengu hivi upo?
wafufua makaburimbarika uzi wako huu hapa 😂😂
Nimecheka sana!!anyone here tutotongozane!!!!
Bosi kubwa mzee wa Kwamsuguli upo?Kaniambia sungura1980 una hali nzuri nimemtuma akupe taarifa nakutafuta naona katekeleza mwambia sungura1980 nashukuru kwa kufikisha ujumbe,
Yani leo mzee wa kaya kanikata stimu zangu zote!!
Basi ntongozeeeeeeeNimecheka sana!!
I wish bado uko hapa mrembo.
Huwa namwona sana Evelyn Salt kule michezoni.
wewe ndio sijakuona long time.
Acha kabisa.Ebanaaa weeee 12 people are there
Daaah wengine tunawatumia nauli kabisa ila wanasema SIJI...Acha kabisa.
Chitchat ilikuwa kitu ya moto.
Mnatongozana, mnakubaliana, mnaachana na hamjawahi kuonana and those days hakuna aliyekuwa anahangaika kumjua mtu!!
Sasa hivi ni zama nyingine kabisa yani.
Kutaka kuonana na kusemana hovyo hovyo 😀 😀 😀 😀
Enzi zenu mlikuwa mnacheza kibaba na kimama nowadays waungwana wanafanya kweli ohhh 🤣🤣🤣Acha kabisa.
Chitchat ilikuwa kitu ya moto.
Mnatongozana, mnakubaliana, mnaachana na hamjawahi kuonana and those days hakuna aliyekuwa anahangaika kumjua mtu!!
Sasa hivi ni zama nyingine kabisa yani.
Kutaka kuonana na kusemana hovyo hovyo 😀 😀 😀 😀
Halafu unajua sasa hivi niko single.JF mpk uzi wa mtongozano upo khaaa!! 😹😹
Bantu Lady sisy nimekuona shemeji yuko wapi ss hivi? 😂😂
Akhu, 🤦♀️Halafu unajua sasa hivi niko single.
Sogea hapa nikunong'oneze.
Wee unanifaa 😊