Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Ebanaaa weeee 12 people are there
Acha kabisa.
Chitchat ilikuwa kitu ya moto.
Mnatongozana, mnakubaliana, mnaachana na hamjawahi kuonana and those days hakuna aliyekuwa anahangaika kumjua mtu!!

Sasa hivi ni zama nyingine kabisa yani.
Kutaka kuonana na kusemana hovyo hovyo 😀 😀 😀 😀
 
Daaah wengine tunawatumia nauli kabisa ila wanasema SIJI...

Nyamwila255
 
Acha kabisa.
Chitchat ilikuwa kitu ya moto.
Mnatongozana, mnakubaliana, mnaachana na hamjawahi kuonana and those days hakuna aliyekuwa anahangaika kumjua mtu!!

Sasa hivi ni zama nyingine kabisa yani.
Kutaka kuonana na kusemana hovyo hovyo 😀 😀 😀 😀
Enzi zenu mlikuwa mnacheza kibaba na kimama nowadays waungwana wanafanya kweli ohhh 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom