Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Kwani aliyeandika ni 100? Muone
Kundi la wanawake ambao walikuwa wahasiriwa wa tapeli wa programu ya uchumba wanajiunga pamoja katika jaribio la kumwinda na kurejesha mamilioni ya dola ambazo ziliibiwa kutoka kwao. Hii hapa ni movie inaitwa The Tinder Swindler
 
Kuna ubwabwa wa kiga unahangaika ukiona id yangu, hana raha kisukari kinampandaga muda wote.!! 😹😹😹
Nilishamwambia kaka zangu wameona ila hataki kukubali, sa sijui namsaidiaje 🤣🤣
Na wewe humtaki?
Au tumsaidie akupate? kuna mbinu m'badala
 
Kundi la wanawake ambao walikuwa wahasiriwa wa tapeli wa programu ya uchumba wanajiunga pamoja katika jaribio la kumwinda na kurejesha mamilioni ya dola ambazo ziliibiwa kutoka kwao. Hii hapa ni movie inaitwa The Tinder Swindler
Anhaa
 
Back
Top Bottom