shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
anataka kusemaje tena?
afu kuna huyu mtu anaitwa kibo, mnajuana? ni kwanini anakuita hny?
We mkeo anakutafuta umejificha wapi sikukuu yote hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anataka kusemaje tena?
afu kuna huyu mtu anaitwa kibo, mnajuana? ni kwanini anakuita hny?
Sijambo Rich Pol. Za Valentine
Ndio kusema watu wote mko kwenye mambo ya wakubwa ama? Leo ni siku ya kuonyesha upendo tu siyo hayo jamani.
Yoyote aje hapa.
Mwenzangu wadada ni wagumu humu bado najitahidi lakini
Yaani napata taabu tongoza tongoza niliacha toka chuo! nikipata mbona nitajisikia raha sana.
Mvumilivu hula mbivu kaka
Yaani nikimpata naoa kabisa kisha nitakuwa natembea nae éverywhere watu watuone
Hahaha hayo maneno kila mwanaume anayo utekelezaji ni ziro
Siyo nzuri, Niko home tu, vipi mbona machozi yanakulenga lenga? Wamekutenda??!
Nipo mimi swty!
Nakuambia hauta niona tena nachepuka nitabaki njia kuu tu, sijui yeye labda awe na uncle Kidevu.
Bantu lady njoo basi uniambie tatizo nini?!.
Pole sana uko single duh.
Tatizo lako unapotea potea vipi. Halafu unajua tatizo lako kwanini unachelewa kupata wako?
Nipo sasa hivi! Sorry will you marry me?!.
Hivi unajua mimi nimeolewa. Nitakutafutia mchumba humu.
Hana ubavu wakunikimbia tulienda dinner tupo home saizi twapumzika