Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmh hayamhhhhhhhhhh nahisi nahisi hatutaendana nitafutie Mwanyasi tutongozane
Mmmmmh haya
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
sasa wewe utaangukia pua!
unaoneshwa njia salama we unarukia porini!
you deserve lusungo! and lusungo deserves you!
Eheee bebii miss neddy nilikuwa nakusubiri kwa hamu tangu dada yangu amu na rafiki yake Arabela walipo wasilisha wasifu wangu kwako! Nimekubaliana na maelezo yao maana mawifi wakikupenda ujue uko sahihi.... karibu kwangu
Mkuu Excel
nashukuru sana kwa msaada wako.... nilipanga nisi comment kabisa huku lakini kwa heshima yako nimefanya hivyo...
kuna watu wanajifanya wamiliki wa majukwaa humu kila unachopost wanakuja kukujazia shudu makusudi na kureport ili upigwe ban na thread ifungwe...
wanalazimisha kila mtu achangie au awaze wanayowaza wao... wengine hatuna udumavu wa fikra wa kuwaza vitu vyepesi kama wao...
kuna mtu kanikera sana na ni maarufu sana jukwaa hili anajifanya mfalme wa kila mtu nimeona heri nijirudie zangu siasani na jamii intelligence wengine mipasho na rusha roho hatuwezi...
nikutakie kila la kheri ndugu yangu Excel karibu nyumbani siasani....
kam zis wei tujadili tukiwa faragha!
Kampeni waachie wanasiasa!!!!!
Mkuu umeandika maneno haya ukiwa serious sana!
Kama ni kweli mtu huyo kakufanyia hivyo kwa makusudi, msamehe!
Nahisi naisoma hasira yako kama yangu ilivyo, kuwa mpole cc huwa tunaiita stress free zone.
Hata mimi ni mpenzi wa siasa bahati nzuri au mbaya hatujaonana huko, lakini mambo ya cc take them easy!
Aaah wewe kampeni wakati tundu liko wazi hili!!!!!
Embu ingia usikie nyimbo zenye vina
Mkuu Excel
nashukuru sana kwa msaada wako.... nilipanga nisi comment kabisa huku lakini kwa heshima yako nimefanya hivyo...
kuna watu wanajifanya wamiliki wa majukwaa humu kila unachopost wanakuja kukujazia shudu makusudi na kureport ili upigwe ban na thread ifungwe...
wanalazimisha kila mtu achangie au awaze wanayowaza wao... wengine hatuna udumavu wa fikra wa kuwaza vitu vyepesi kama wao...
kuna mtu kanikera sana na ni maarufu sana jukwaa hili anajifanya mfalme wa kila mtu nimeona heri nijirudie zangu siasani na jamii intelligence wengine mipasho na rusha roho hatuwezi...
nikutakie kila la kheri ndugu yangu Excel karibu nyumbani siasani....
mkuu tafadhali rudi... najua una hasira za kisiasa.. zipunguze tu mkuu!
humu tuna policy moja ya survival for the fittest... anaekujia juu, kwenda juu zaidi yake kwa kuraise point njema kabisa!
nakukaribisha kwenye high table mkuu lusungo! fear nothing when it comes to objections.. kwanini uogope kuulizwa ama kuhojiwa ama kutukanwa>?
sasa huko siasani mtaishije mkuu>?
karibu tena huku bana!
fear no one as long as no one knows you!
mwaghona sewo....
hajanifanyia hapa ni kule kwenye jukwaa lingine la MMU
anajifanya controller wa kila kitu nimechukia sana na kumsamehe siwezi
mwanume anaendekeza tabia za kike kike tu
haya mkuu uwalamuke ngani
mkuu tafadhali rudi... najua una hasira za kisiasa.. zipunguze tu mkuu!
humu tuna policy moja ya survival for the fittest... anaekujia juu, kwenda juu zaidi yake kwa kuraise point njema kabisa!
nakukaribisha kwenye high table mkuu lusungo! fear nothing when it comes to objections.. kwanini uogope kuulizwa ama kuhojiwa ama kutukanwa>?
sasa huko siasani mtaishije mkuu>?
karibu tena huku bana!
fear no one as long as no one knows you!
ni mmejipima ubavu au?