Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Ah acha tu mkuu

nitafikiria Mara mbili kubadili uamuzi

hiyo jamaa anaboa sana aisee

inashangaza mtoto wa kiume anachomwa na ujumbe wa thread za watu utadhani tumebandika usoni kwake....

poa mkuu nashukuru sana msalimie Evelyn Salt

hahahahaaa!! mkuu we nawe muoga sana!!

sherii eve anakwambia laivu kabisa kwamba anakulavu afu wewe unakimbia?

mpige siasa bana atulie kwako!
 
Last edited by a moderator:
nani huyo? mbona maneno yako makali sana?
vaa ujasiri afu ummention hapa kwanza

Hapana siwezi mtaja kwa jina

nitaruhusu magomvi yasiyokwisha....

yupo humu na mnamheshimu sana tu

mi sijawah vuruga thread ya mtu humu lakini watu wanakuchokoza maksudi...

sina mengi lakini yote maisha
 
basi poa kama unamuheshimu na kumuogopa ni vizuri vile vile..🙂
 
hahahahaaa!! mkuu we nawe muoga sana!!

sherii eve anakwambia laivu kabisa kwamba anakulavu afu wewe unakimbia?

mpige siasa bana atulie kwako!

Evelyn Salt hataki siasa....

ksnitamkia live ananitaka

nafsnya impact assessment ya uamuzi niyakaouchukua iwe kukubali au kukataa
 
Last edited by a moderator:
naona kweli anahasira, ila mbona hasemi kazinguana na nani?

ni wadau karibu wote kiujumla.. si unajua mmu hawatakagi post zinazohusu kufa kufa!!

kule wanataka mapenzi tuu kama wako eden vile!

sasa wamepelekewa ujumbe ile siku ya valentine kwamba kuzimu ni kwa ajili ya wazinzi, wadau wameruka juu kama vile wanacheza banjuka ya DNA!!
 
ha ha ha ha ha...kumbe ndiyo hivyo? aisee!! kasahau kuwa mapenzi hunoga sana?
 
Evelyn Salt hataki siasa....

ksnitamkia live ananitaka

nafsnya impact assessment ya uamuzi niyakaouchukua iwe kukubali au kukataa

mkuu tatizo siasa zako kali saaaaana!

mtoto Evelyn Salt anataka siasa zenye mapenzi ndani!!

we hujasikiaga ule wimbo wa nidanganye danganye danganye tuu ukiniambia ukweli nitaumia..!!

hizo ndo siasa sasa!!

usiseme ukweli daima kwenye mapenzi..!
 
Last edited by a moderator:
ni wadau karibu wote kiujumla.. si unajua mmu hawatakagi post zinazohusu kufa kufa!!

kule wanataka mapenzi tuu kama wako eden vile!

sasa wamepelekewa ujumbe ile siku ya valentine kwamba kuzimu ni kwa ajili ya wazinzi, wadau wameruka juu kama vile wanacheza banjuka ya DNA!!

wengine wametuma PM za kunitusi kabisa

nikabaki kushangaa coz sijamtag MTU yeyote mie

topic ikawa closed na kutupwa jukwaa la dini...

kama huu mtindo wa kuchangia matusi makusudi kwenye thread tusizozipenda ili zifungwe itabidi mkuu Invisible achukue hatua
 
Last edited by a moderator:
mkuu tatizo siasa zako kali saaaaana!

mtoto Evelyn Salt anataka siasa zenye mapenzi ndani!!

we hujasikiaga ule wimbo wa nidanganye danganye danganye tuu ukiniambia ukweli nitaumia..!!

hizo ndo siasa sasa!!

usiseme ukweli daima kwenye mapenzi..!

kitu cha youtube safi sana
 
basi mkuu punguza hasira kidogo huu uzi ni mtongozano kama vipi tafuta kimwana uje nae hapa umshushie vocals
mambo yakae sawa...
 
mkuu tatizo siasa zako kali saaaaana!

mtoto Evelyn Salt anataka siasa zenye mapenzi ndani!!

we hujasikiaga ule wimbo wa nidanganye danganye danganye tuu ukiniambia ukweli nitaumia..!!

hizo ndo siasa sasa!!

usiseme ukweli daima kwenye mapenzi..!

ha ha ha

eve anatamani umama mchungaji...

ngoja nifanye impact assessment nikipata majibu ntatoa uamuzi
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt hataki siasa....

ksnitamkia live ananitaka

nafsnya impact assessment ya uamuzi niyakaouchukua iwe kukubali au kukataa

mkuu tatizo siasa zako kali saaaaana!

mtoto Evelyn Salt anataka siasa zenye mapenzi ndani!!

we hujasikiaga ule wimbo wa nidanganye danganye danganye tuu ukiniambia ukweli nitaumia..!!

hizo ndo siasa sasa!!

usiseme ukweli daima kwenye mapenzi..!

Nimewadaka, kwanini mmeniita mdudu?
hivi mnamjua mdudu nyie?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom