Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hapana ni mke wa mtu huyu! Isitoshe mume wake ni best man ktk ndoa yangu kesho.
Mkuu kwani kuzaa naye mtoto na kumchopeka naniliu kunatofauti yoyote? Anyway hongera kwa shughuli ya kesho, karibu kwenye Chama Cha Walala Uchi (CCWU)
 
Mkuu kwani kuzaa naye mtoto na kumchopeka naniliu kunatofauti yoyote? Anyway hongera kwa shughuli ya kesho, karibu kwenye Chama Cha Walala Uchi (CCWU)

Naomba kadi mkuu,maana huku jf kila binti kachukuliwa...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mimi ni mume mtarajiwa nashukuru sana.

Wewe naye unajishaua hivyo hata huyo mke jina hulijui. Wala hakujui na hajaambiwa bado, kesho utaoa hewa.
Heheheee kwani kesho mbali tuone hiyo ndoa. Mi nakuombea uoe msukule wangu, sababu muda wowote utakuwa kwangu.
 
Hivi baba paroko mpaka muda huu hujapata habari. Kuna mrembo hali hanywi mpaka awe nawewe. Fanya utaratibu basi muonane.
cc: rosita.

Sijaisikia hiyo kabisa
Mi nilidhani ni wewe binti wa kibantu.....lol!!!!!
 
Wewe naye unajishaua hivyo hata huyo mke jina hulijui. Wala hakujui na hajaambiwa bado, kesho utaoa hewa.
Heheheee kwani kesho mbali tuone hiyo ndoa. Mi nakuombea uoe msukule wangu, sababu muda wowote utakuwa kwangu.

Halafu unapenda kuninyanyasa sawa tu sina jinsi.
 
Back
Top Bottom