Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
ahsante sana mpenzi kwa ushauri.. napenda sana kukusikiliza kwa sababu nakuamini... sawa ntasubiri baraka zao..
ila swali, kwani ni lazima tufungie ndoa parokiani?
parokiani ndo tutapata baraka za masiha lakini kwingineko na shetani anakuwaga around
