Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
kachumbariii hapo sawa miss u honey
Mwambie mwenzio Honey Faith anautesa sana mtima wangu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kachumbariii hapo sawa miss u honey
Nachukua nafasi hii kukushukuru kwa kunipenda kwa dhati my hubby Sungura1980.
Najua kiasi gani unanipenda, unanijali muda wote unajitolea kwaajili yangu.
Umekuwa mwema kwangu, sijaona tofauti toka siku ya kwanza mpaka leo.
Umekuwa unaongeza mapenzi kila kukicha, hahahaa punguza tu wivu, mimi ni wako peke yako.
Nakupenda kwa vyovyote vile, hapo ndio nimefika, nakupenda sana.
Jamani kupendwa raha!!!!!!!.
Sana hasa umpate anayejua maana ya kupenda.
Naenjoy sana na huyu mwanaume Sungura1980. Sijui hata nimshukuru vipi anielewe kuwa ananifi.......
Malizia basi hapo mwisho.
Mwenyewe akisoma ataelewa, sitaki kumwaga mtama hapa.
Sana hasa umpate anayejua maana ya kupenda.
Naenjoy sana na huyu mwanaume Sungura1980. Sijui hata nimshukuru vipi anielewe kuwa ananifi.......
join the dots na mimi nataka kujua wiiii
My wii hahahaaa hakuna maneno yanayoendelea luv, sentesi imefika mwisho.
mhhhhhhhhh hapana unanidanganya live kabisaaaa mbona kila nikiweka nukta haiji
Hahahaaa ngoja uje umuulize Sungura1980 labda atakuwa anajua. Ila mimi wii naona imefika mwisho.
hahahaha mumeo ni mtata naanzaje kumzoea
Ni mpole sana mume wangu, upole wake ndio maana anaonekana kama mtata.
Jaribu uone my wii
Nowdays Michepuko tunahiita Emergence Exist!![]()
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
ukumbi ni wakoo huu Rogie mmwagie sera