Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nachukua nafasi hii kukushukuru kwa kunipenda kwa dhati my hubby Sungura1980.
Najua kiasi gani unanipenda, unanijali muda wote unajitolea kwaajili yangu.
Umekuwa mwema kwangu, sijaona tofauti toka siku ya kwanza mpaka leo.

Umekuwa unaongeza mapenzi kila kukicha, hahahaa punguza tu wivu, mimi ni wako peke yako.
Nakupenda kwa vyovyote vile, hapo ndio nimefika, nakupenda sana.

Asante kwa pendo lako malkia wangu Bantu lady,,nakupenda sana pia laazizi wangu!

Mmmh wivu,,ni kwa sababu ninakaa na almasi ndani ya nyumba yangu,wewe ndiye almasi hiyo!Ukiwa na almasi ndani ya nyumba unahisi tu wakati unaweza kuibiwa!

Nitamani nikumeze barafu wangu Bantu lady ili atakayetaka kukuiba hasiweze!

Mmmmwaaaaaa kipenzi changu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ngoja uje umuulize Sungura1980 labda atakuwa anajua. Ila mimi wii naona imefika mwisho.

hahahaha mumeo ni mtata naanzaje kumzoea

Ni mpole sana mume wangu, upole wake ndio maana anaonekana kama mtata.
Jaribu uone my wii

kumbeeeeee nitajaribu aniambie hiyo sentensi inaishiaje

Hahahaaaa shem miss neddy haya nipo niulize!Sentensi imefika mwisho hapo shem,wenyewe tuna codes zetu za mawasiliano tunaelewana!Kuna siku tunaamua kutumia macho tu kuwasiliana siku nzima,,siku nyingine mikono tu,siku nyingine ulimi tu bila kutoa sauti!Haaaa nimesema mambo mengi eheee!!
 
hahahahahaa nimeipenda hiyo ya ulimi naomba unifundishe hiyo lugha
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa pendo lako malkia wangu Bantu lady,,nakupenda sana pia laazizi wangu!

Mmmh wivu,,ni kwa sababu ninakaa na almasi ndani ya nyumba yangu,wewe ndiye almasi hiyo!Ukiwa na almasi ndani ya nyumba unahisi tu wakati unaweza kuibiwa!

Nitamani nikumeze barafu wangu Bantu lady ili atakayetaka kukuiba hasiweze!

Mmmmwaaaaaa kipenzi changu

Lu u more my love. Your welcome, 1000 kisses!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa!Itabidi uje na huyo mdogo wangu tuwafundishe wote kwa pamoja,na mimi dada yako Bantu lady atakuwepo.

Duh bora umeshtuka mapema kabisa, weekend hii ungeimaliza vibaya honey.
Ila namuamini my wii miss neddy, nenda tu kamfundishe mkiwa wawili.
I trust u honey.
 
Last edited by a moderator:
Duh bora umeshtuka mapema kabisa, weekend hii ungeimaliza vibaya honey.
Ila namuamini my wii miss neddy, nenda tu kamfundishe mkiwa wawili.
I trust u honey.

Hahahaaa,kuna vitu ambavyo ni lazima na wewe uwepo honey!Si unakumbuka tulishakubaliana tufungue darasa pamoja?
 
Duh bora umeshtuka mapema kabisa, weekend hii ungeimaliza vibaya honey.
Ila namuamini my wii miss neddy, nenda tu kamfundishe mkiwa wawili.
I trust u honey.

hahah ndo mana nakupenda my wiii mi nasoma tu kwa faida ya Excel sitavuka mipaka kabisaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom