Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Lubengera

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
963
Reaction score
1,551
Niko nacheki kipute hapa live.

Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote.

Namlaumu sana muasisi wa back pass hapa TZ. mbinu za simba na ya yanga naziona hata kwenye timu ya Taifa.

Kwa uchezaji huu, kushinda itakuwa ndoto
 
Unazungumzia Zimbwe huyu au mwingine?
 
Niko nacheki kipute hapa live.

Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote.

Namlaumu sana muasisi wa back pass hapa TZ. mbinu za simba na ya yanga naziona hata kwenye timu ya Taifa.

Kwa uchezaji huu, kushinda itakuwa ndoto
Bora umeanzisha uzi mwana manake stars imesuzwa hadi JF

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Mpira wenyewe unauona lakini, hauna mvuto kabisa. Ata hawa waganda wenyewe hamna kitu.
Either team ikifuzu chan hawaendi fanya maajabu
Mkuu, UG wanahaki ya kucheza ivo sabab wako ugenini! hawa tukienda kwao watatupiga nyingi
 
Huyu kocha mnona amejaza wachezaji wa utopolo?

Ilitakiwa kikosi kianze kwa.pamoja wachezaji Aisha na Beno!
 
Hivi sasa huyu sijui Manzoki huyu mbona hata The Cranes hayumo ama niaje niaje Simba na Yanga wanapigwa gharasha

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Mashindano ya CHAN yanahusika na wachezaji wa ndani tu. Si Nje ya nchi yako.

Manzoki ni Mzaliwa wa Congo lakini Anatokea central Africa.Alikuwa anacheza ligue ya Uganda, amehama kwenda kucheza China.

UONGOZI WA SIMBA KWA UZEMBE ULISHINDWA KUMNASA.
 
Back
Top Bottom