Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Niko nacheki kipute hapa live.

Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote.

Namlaumu sana muasisi wa back pass hapa TZ. mbinu za simba na ya yanga naziona hata kwenye timu ya Taifa.

Kwa uchezaji huu, kushinda itakuwa ndoto
Hii ndio raha ya kupendelea Simba na Yanga na kuzionea timu ndogo.
 
Yaani badala ya kutoa mpira nje mohamedi anapigia danadana huku akijua yeye ni mchezaji wa mwisho. shame on him
 
Siku wachezaji wa bongo watakapoacha sifa za kucheza na jukwaa ndio watasonga mbele

Mohamed husein badala ya kuanua mpira anaoumiliki anatafuta sifa za kumdhalilisha mchezaji wa uganda imemtokea puani

Fei toto anapiga chenga za kurudi nyuma
 
Niko nacheki kipute hapa live.

Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote.

Namlaumu sana muasisi wa back pass hapa TZ. mbinu za simba na ya yanga naziona hata kwenye timu ya Taifa.

Kwa uchezaji huu, kushinda itakuwa ndoto
Nilishawahi kuwaambia washikaji mimi ningekuwa kocha ni mwiko kurudisha mpira nyuma. Pambana uende mbele. Ndio maana timu siku hizi zinashinda kagoli kamoja tu ksbb ya huo mfumo. Ni kama wanaogopa hivi. Utafikiri bondia Mayweather,anakimbia kimbia tu ulingoni,anadokoa kangumi kamoja. Anategea ushindi wa point.
 
Siku wachezaji wa bongo watakapoacha sifa za kucheza na jukwaa ndio watasonga mbele

Mohamed husein badala ya kuanua mpira anaoumiliki anatafuta sifa za kumdhalilisha mchezaji wa uganda imemtokea puani

Fei toto anapiga chenga za kurudi nyuma
Kocha abadilishwe, hana ubunifu mpya, kuna Zimbwe naona nao hawana jipya wamejichokea! wabaki huko huko kwenye Simba na Yanga.

Inaumiza sana hii, Taifa kuwa na timu ya aina hii.
 
Nilishawahi kuwaambia washikaji mimi ningekuwa kocha ni mwiko kurudisha mpira nyuma. Pambana uende mbele. Ndio maana timu siku hizi zinashinda kagoli kamoja tu ksbb ya huo mfumo. Ni kama wanaogopa hivi. Utafikiri bondia Mayweather,anakimbia kimbia tu ulingoni,anadokoa kangumi kamoja. Anategea ushindi wa point.
Muasisi wa backpass ametugharimu, hata hilo goli, Zimbwe alikuwa anataka kurudisha kwa manula!
 
Hapa Tanzania mpira wa Miguu kwa Wanaume tuachane nao ila tukuze na ki promote Ligi yetu kwa sababu za kibiashara maana huku hatuna vipaji Wala hatuwezi ushindani..

Pili nguvu kubwa tuweke kwenye Timu za wanawake na ngumi na timu za walemavu huku tunaweza ushindani vyema..
 
Msilaumu sana hawa wachezaji.
Kwa hawa makocha wa kizungu sioni mapya kwao. Ni aina ya ulaji pesa hamna msaada na soka letu.

Mpira anaoufundisha Poulsen, Mgunda, Minziro, Matola, Kiwelu Julio wanaweza kufanya vyema kama mashindano CHAN, vizuri tu.
 
Kwani wanacheza stars Leo? Si Barbara alitamba Simba imetowa wachezaji wengi stars imekuwaje?

Cha msingi TFF wameruhusu wageni wanaweza kucheza timu nzima kwenye ligi hawa wazawa Dawa yao inachemka.
Hawa jamaa hawakuwa na motisha ya kucheza, sijui tatizo ni nini!
 
Msilaumu sana hawa wachezaji.
Kwa hawa makocha wa kizungu sioni mapya kwao. Ni aina ya ulaji pesa hamna msaada na soka letu.

Mpira anaoufundisha Poulsen, Mgunda, Minziro, Matola, Kiwelu Julio wanaweza kufanya vyema kama mashindano CHAN, vizuri tu.
Haiwezekani vilabu viwe. serious kuajili makocha kwenye viwango halafu TFF wameng'ang'ana na Poulsen tu.
 
Back
Top Bottom