Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Mashindano ya CHAN yanahusika na wachezaji wa ndani tu. Si Nje ya nchi yako.

Manzoki ni Mzaliwa wa Congo lakini Anatokea central Africa.Alikuwa anacheza ligue ya Uganda, amehama kwenda kucheza China.

UONGOZI WA SIMBA KWA UZEMBE ULISHINDWA KUMNASA.
Asante kwa taarifa....
JF ni pahala pa taarifa na kujuzana. Shukran
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Uwezo wa kocha ni mdogo sana, anapoita wachezaji wanaocheza namba 1 kwenye timu moja inaonyesha uwezo wake ni mdogo sana.
Sielewi kwanini Taifa wamemng'ang'ania huyu Kim. Kovha hajaonesha utofauti kabisa toka enzi hizo.
 
Sielewi kwanini Taifa wamemng'ang'ania huyu Kim. Kovha hajaonesha utofauti kabisa toka enzi hizo.
Mosimane yupo free sasa tuweke mzingo wa tozo tumchukue atupelele afcon.

Kwa tozo hizi hatuwezi shindwa mlipa million 400 kwa mwezi
 
Hii offside kweli jamani mbona kama refa naye wa mchongo
 
Back
Top Bottom