Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Wachezaji wa Simba na Yanga wasichezee timu ya Taifa. Hii inaweza kusaidia sana!
I disagree. Wachezaji wa simba na yanga wanapaswa kucheza national team. Hizi ndio timu zinazocheza international competitions.

Ubora wa mchezaji unakua kutokana na kucheza mechi kubwa dhidi ya wachezaji wazuri na kucheza pamoja na wachezaji wazuri. Suluhisho la majanga yetu mbona linajulikana sema tuu ni kwamba hatutaki kulitatua. ...and its not wachezaji wa simba na yanga. Hilo nakataa.
 
Tulijitahidi ku attempt, lakin attempt za kizembe sana
Hatukufika kabisa kwenye sehemu magoli yanapo tengenezwa. Cross zinapigwa mbele ya penalty area ambayo ina mfavour beki. Mashuti ya nje ya box ambayo propability ya kufunga ni 0.05 basi tabu tupu.

Furthermore hii ni second match naangalia ambapo timu in the dying minutes inafungwa goli kutokana na counter attack baada ya sie kupiga set piece. Mechi ya algeria nayo ilikuwa hivyo hivyo. hapa inamaanisha hamna tactical structure ya kuzuia counters while tunachukua set pieces.

Anyways enough of the rumblings. Tuangalie the positive side na kitu ambacho anaweza fanya bwana kim.
Mipira mirefu kutoka wa cetre backs au gk walikuwa wanapata first header na pia ata second ball walikuwa wanapata. Problem ilikuwa jinsi ya kuendeleza mashambulizi. Hiyo ndio positive pekee nayokumbuka
 
Hakuna namna tunaweza kutoka kama tutakumbatia usimba na Uyanga!

Hizi timu mbili zinachangia pakubwa kufeli kwa timu ya taifa.

Nakubali uchambuzi wako wa kitaalamu, lakin trust me hizi timu ni sabab kubwa ya kufeli kwa timu yetu ya taifa.
Ninatamani sana kuandika paper juu ya michango ya club za simba na yanga na hatma ya mpira wa Tanzania.
 
Hakuna namna tunaweza kutoka kama tutakumbatia usimba na Uyanga!

Hizi timu mbili zinachangia pakubwa kufeli kwa timu ya taifa.

Nakubali uchambuzi wako wa kitaalamu, lakin trust me hizi timu ni sabab kubwa ya kufeli kwa timu yetu ya taifa.
Ninatami sana kuandika paper juu yaichango ya club za simba na yanga na hatma ya mpira wa Tanzania.
Andika bwana tumpelekee waziri mwenye dhamana
 
Bora hata sikuangalia huo mchezo wao! Timu imejaa wachezaji mafather!! Hawajitumi hata kidogo. Angekuwepo Sopu kule mbele, walau angeongeza uhai! Maana hakuna muunganiko wa kueleweka kwa hao wachezaji wengine.

Binafsi nitafarijika wakitolewe mapema, ili watupunguzie magonjwa ya moyo. Miaka nenda timu ni tia maji tia maji! Inahudumiwa kwa kila kitu! Lakini wakiingia uwanjani wanafanya utani tu.
 
Back
Top Bottom