- Thread starter
- #81
Huyo jamaa kiwango kina kupwa na kujaa.Huyu kibu ndio hamnaa kitu kabisaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa kiwango kina kupwa na kujaa.Huyu kibu ndio hamnaa kitu kabisaaaa
Litimu miaka nenda rudi linafanyaga makosa yale yale tuu hamna jipya hapo.Mkuu ndio timu yetu ya taifa, hatuna budi kuumia kwa matokeo mabaya.
Hi i leo kweli tulikuwa na shot on target kweli?Huyo jamaa kiwango kina kupwa na kujaa.
Wachezaji wa Simba na Yanga wasichezee timu ya Taifa. Hii inaweza kusaidia sana!Litimu miaka nenda rudi linafanyaga makosa yale yale tuu hamna jipya hapo.T
Tulijitahidi ku attempt, lakin attempt za kizembe sanaHi i leo kweli tulikuwa na shot on target kweli?
I disagree. Wachezaji wa simba na yanga wanapaswa kucheza national team. Hizi ndio timu zinazocheza international competitions.Wachezaji wa Simba na Yanga wasichezee timu ya Taifa. Hii inaweza kusaidia sana!
All the best The Cranes.Mkuu ndio timu yetu ya taifa, hatuna budi kuumia kwa matokeo mabaya.
Hatukufika kabisa kwenye sehemu magoli yanapo tengenezwa. Cross zinapigwa mbele ya penalty area ambayo ina mfavour beki. Mashuti ya nje ya box ambayo propability ya kufunga ni 0.05 basi tabu tupu.Tulijitahidi ku attempt, lakin attempt za kizembe sana
Hakuna namna tunaweza kutoka kama tutakumbatia usimba na Uyanga!Hatukufika kabisa kwenye sehemu magoli yanapo tengenezwa. Cross zinapigwa mbele ya penalty area ambayo ina mfavour beki. Mashuti ya nje ya box ambayo propability ya kufunga ni 0.05 basi tabu tupu.
Furthermore hii ni second match naangalia ambapo timu in the dying minutes inafungwa goli kutokana na counter attack baada ya sie kupiga set piece. Mechi ya algeria nayo ilikuwa hivyo hivyo. hapa inamaanisha hamna tactical structure ya kuzuia counters while tunachukua set pieces.
Anyways enough of the rumblings. Tuangalie the positive side na kitu ambacho anaweza fanya bwana kim.
Mipira mirefu kutoka wa cetre backs au gk walikuwa wanapata first header na pia ata second ball walikuwa wanapata. Problem ilikuwa jinsi ya kuendeleza mashambulizi. Hiyo ndio positive pekee nayokumbuka
Andika bwana tumpelekee waziri mwenye dhamanaHakuna namna tunaweza kutoka kama tutakumbatia usimba na Uyanga!
Hizi timu mbili zinachangia pakubwa kufeli kwa timu ya taifa.
Nakubali uchambuzi wako wa kitaalamu, lakin trust me hizi timu ni sabab kubwa ya kufeli kwa timu yetu ya taifa.
Ninatami sana kuandika paper juu yaichango ya club za simba na yanga na hatma ya mpira wa Tanzania.
Tatizo paper nyingi zinafichwa kwenye makabati.Andika bwana tumpelekee waziri mwenye dhamana
Watz sie wavivu kusoma....Tatizo paper nyingi zinafichwa kwenye makabati.
Bora hata sikuangalia huo mchezo wao! Timu imejaa wachezaji mafather!! Hawajitumi hata kidogo. Angekuwepo Sopu kule mbele, walau angeongeza uhai! Maana hakuna muunganiko wa kueleweka kwa hao wachezaji wengine.