Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Ndiyo Dickson Job.. na mwenzake 'nyetoNi kweli?
Huyu Mohamed Hussein ndiye kasababisha ilo goli!
Ameshazeeka, sijui kwanini anaitwa Stars.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Dickson Job.. na mwenzake 'nyetoNi kweli?
Huyu Mohamed Hussein ndiye kasababisha ilo goli!
Ameshazeeka, sijui kwanini anaitwa Stars.
Msomali tena??😂😂Msomali 0 - 1 Uganda
Wewe chizi kweli, hacha ushabiki ongea ukweliNdiyo Dickson Job..
Hii ndio raha ya kupendelea Simba na Yanga na kuzionea timu ndogo.Niko nacheki kipute hapa live.
Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote.
Namlaumu sana muasisi wa back pass hapa TZ. mbinu za simba na ya yanga naziona hata kwenye timu ya Taifa.
Kwa uchezaji huu, kushinda itakuwa ndoto
Hizi timu mbili zinatugharimu sana kwenye timu yetu ya Taifa. Yan hakuna kipya wala ubunifu.Hii ndio raha ya kupendelea Simba na Yanga na kuzionea timu ndogo.
Nilishawahi kuwaambia washikaji mimi ningekuwa kocha ni mwiko kurudisha mpira nyuma. Pambana uende mbele. Ndio maana timu siku hizi zinashinda kagoli kamoja tu ksbb ya huo mfumo. Ni kama wanaogopa hivi. Utafikiri bondia Mayweather,anakimbia kimbia tu ulingoni,anadokoa kangumi kamoja. Anategea ushindi wa point.Niko nacheki kipute hapa live.
Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote.
Namlaumu sana muasisi wa back pass hapa TZ. mbinu za simba na ya yanga naziona hata kwenye timu ya Taifa.
Kwa uchezaji huu, kushinda itakuwa ndoto
Kocha abadilishwe, hana ubunifu mpya, kuna Zimbwe naona nao hawana jipya wamejichokea! wabaki huko huko kwenye Simba na Yanga.Siku wachezaji wa bongo watakapoacha sifa za kucheza na jukwaa ndio watasonga mbele
Mohamed husein badala ya kuanua mpira anaoumiliki anatafuta sifa za kumdhalilisha mchezaji wa uganda imemtokea puani
Fei toto anapiga chenga za kurudi nyuma
Watu walijua Vipers walipowanyoa Yanga ni utani.Hizi timu mbili zinatufmgharimu sana kwenye timu yetu ya Taifa. Yan hakuna kipya wala ubunifu.
Muasisi wa backpass ametugharimu, hata hilo goli, Zimbwe alikuwa anataka kurudisha kwa manula!Nilishawahi kuwaambia washikaji mimi ningekuwa kocha ni mwiko kurudisha mpira nyuma. Pambana uende mbele. Ndio maana timu siku hizi zinashinda kagoli kamoja tu ksbb ya huo mfumo. Ni kama wanaogopa hivi. Utafikiri bondia Mayweather,anakimbia kimbia tu ulingoni,anadokoa kangumi kamoja. Anategea ushindi wa point.
Kocha ndio kamwambia Mohamed huseiñ apike danadana karibu na goli mbele ya forward hatari?Sielewi kwanini Taifa wamemng'ang'ania huyu Kim. Kovha hajaonesha utofauti kabisa toka enzi hizo.
Kocha hajamwambia, lakin aina ya uchezaji ni hovyo.Kocha ndio kamwambia Mohamed huseiñ apike danadana karibu na goli mbele ya forward hatari?
Kwani wanacheza stars Leo? Si Barbara alitamba Simba imetowa wachezaji wengi stars imekuwaje?
Hawa jamaa hawakuwa na motisha ya kucheza, sijui tatizo ni nini!Kwani wanacheza stars Leo? Si Barbara alitamba Simba imetowa wachezaji wengi stars imekuwaje?
Cha msingi TFF wameruhusu wageni wanaweza kucheza timu nzima kwenye ligi hawa wazawa Dawa yao inachemka.
Haiwezekani vilabu viwe. serious kuajili makocha kwenye viwango halafu TFF wameng'ang'ana na Poulsen tu.Msilaumu sana hawa wachezaji.
Kwa hawa makocha wa kizungu sioni mapya kwao. Ni aina ya ulaji pesa hamna msaada na soka letu.
Mpira anaoufundisha Poulsen, Mgunda, Minziro, Matola, Kiwelu Julio wanaweza kufanya vyema kama mashindano CHAN, vizuri tu.