Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hata Mimi nashangaa kweli daah.Dooooh tushalala tena hawa kagera sijui wanatupatia wapi!!
Wanalipiza tulivyokua tunawafunga, tushakutana nao mara 18 tukashinda 9 tukafungwa 3 Droo 6Dooooh tushalala tena hawa kagera sijui wanatupatia wapi!!
Dah we acha tu tunawapa la kusemaHata Mimi nashangaa kweli daah.
Wanatukomalia Sana aisee
Mmh. Hii sio kweliChura naye kalala
Bora manaChura naye kalala
AminiMmh. Hii sio kweli
simba wmebweteka, bora yanga wamefungwa maana sijui leo ingekuwajeTanzania Premier League (Ligi kuu bara) inaendelea leo ikikutanisha Simba dhidi ya Kagera. Simba ni bingwa mteteza anataka kuendeleza ubabe wa kwa kuchukua kombe hili mara ya pili mfululizo, je atafanikiwa?? ungana na mimi hapa hapa nikikuletea updates za hapa na pale
......................................................................
zimebaki dakika kadhaa game kuanza na hivi ndiyo vikosi vitakavyoanza leo.
LINE-UPS
SIMBA SC; Aishi Manula, Zana Coulibaly, Mo Hussein, Yusuph Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei, Hassan Dilunga HD, Mzamiru Yassin, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi, Mo Ibrahim.
SUBS; Deogratias Munish, Nicolas Gyan, Said Ndemla, Clatous Chama, Adam Salamba, Rashid Juma.
Mpira utaanza saa 10:00 jioni.
...........................................................................
HALF TIME: Simba Sc 0-1 Kagera Sugar
Ngoma imeshalala hii.Goli la kagera halirudi,
Taifa mlikosa hadi penalt
PointDawa ya kagera sugar ni Golikipa mwingine pamoja na ulinzi na si manura na zana nitashangaa sana msimu ujao manura akiendelea kuaminiwa kama golikipa namba moja wa Simba pamoja ma zana kubakia.
Ubingwa tutachukua lakini si kwa kufedheheshwa kiasi hiki na timu ileile, hii inamaanisha mbinu zao dhidi ya Simba ni bora zaidi na hatujawahi kuwafanyia kazi ipasavyo