Suala hapa sio Ubingwa ninavyofahamu mimi ukisema Vibonde ni kumaanisha timu ambayo ni mteremko na wala haifiki huko kwenye fainali.Hata Ballack kacheza fainali na nusu fainali nyingi sana....beba ile kitu yenye masikio wewe!
Busarspor? (sp)..duh!, ya wapi hii timu?
Thanks..vinabana'ga' vitimu hivyo balaaa!Uturuki iyo
Haya Ze Goonaza na trip za Mashariki ya Mbali hizo !
Kama tunasukuma mlevi kwenye mteremko .
Bora KWELI umesema ukweli...!umeona mbali ehh?Group H: ARSENAL, Shakhtar Donetsk, SC Braga, FK Partisan: Duh naona safari hii tunaelekea ushokani tu? hizi sehemu na viwanja vyao vya plastiki na ukiangalia watot wetu miguu laini-laini?