Dar young africans tumeshika ushukani wa ligi simba waliongea sana sasa nanyie jmoc mnacheza hapo hapo
Mbeleko ya refa leo imewaokoa, vijana wanaweka wavuni bao safi refa anakataa.
Hata hivyo leo mmejitahidi kuongea na refa mapema juzi mlichelewa sana.
Nitarudi kutoa dozi ya kila mmoja kwa kipimo.chake, maana wengine hawakawii kuzima humu. So mchill tu mtaisoma kama guest tu humu leo mambo yote Yangaaaaaaaaaaaaa
WANASIMBA TUJAE HUMU KUJIBU MASHAMBULIZI HAWA WATEJA WETU HAWATUBABAISHI ASILANI.
Mandieta, Grafani, Bantulady, Makoye Matale, Mkolaji, Revocayus Kashaga, Bello......njooni woote wana simba humu
Kabla ya mechi ulikuwa umejificha porini saa hii ndiyo unajitokeza baada ya kaushindi ka kubahatisha.
Ii
Nenda kaweke bundle urudi, utatukuta humu humu.
Ulipandisha mashetani humuhumu kisa kushindwa siasa za kiushabiki. Komeolachuma kiboko yako.
Jana alikiri safu ya ushambuliaji ya yanga ni butu mno, leo mtu mzima amewafundisha kitu. Hongera kwa Cannavaro binafsi.
Ndiyo maana kuna uzi nilisema Yanga bila yeye hakuna kitu.
Yanga mmeshinda lakini ukweli ukweli moyoni mnaujua. Timu ni mbovu mno, inacheza mpira wa kubutua bora liende, Coastal Union nao mpira wao leo ulikuwa ni mbovu mno. Kila wakati waliotea wao, mipango ya magoli hakuna ilimradi mpira uende mbele.
Ndio maana Yanga ikikutana na timu inayoweka mpira chini lazima iumie. Ukweli ndiyo huo hata ukibisha tukutane wenyewe kwa wenyewe kama kocha hajafukuzwa.
nenda google
Yanga ooooooooyyyeeeeeeeeeeeee
WANASIMBA TUJAE HUMU KUJIBU MASHAMBULIZI HAWA WATEJA WETU HAWATUBABAISHI ASILANI.
Mandieta, Grafani, Bantulady, Makoye Matale, Mkolaji, Revocayus Kashaga, Bello......njooni woote wana simba humu
Hahahahahaha...ila komeo la chuma mbayaaaaa...alimpa dudyuuuuuuu...hahhaahah
Ila yanga bado wachumba tu...tunawasubiri tuwasukumizie vitano
Ii
Nenda kaweke bundle urudi, utatukuta humu humu.
Ulipandisha mashetani humuhumu kisa kushindwa siasa za kiushabiki. Komeolachuma kiboko yako.
WANASIMBA TUJAE HUMU KUJIBU MASHAMBULIZI HAWA WATEJA WETU HAWATUBABAISHI ASILANI.
Mandieta, Grafani, Bantulady, Makoye Matale, Mkolaji, Revocayus Kashaga, Bello......njooni woote wana simba humu
Hongera sana sana yanga sc..