Live Updates:Costal Union vs Yanga

Katavi pekee ndiye tulikuwa naye, tukaagana, ninyi nyote mlisepa ki-design. Mjae humu kufanya nini wakati mmefungwa? Yanga iko kileleni, ninyi mkisota nafasi ya 8. Poleni sana.
hata wewe ungefungwa ungesema upo Sabatoni ilihali ni Jumatano
 
Yanga noumaaaaaaaaaaaa...............
 
Yanga noumaaaaaaaaaaaa...............

Tena noooma sanaaaaaaaaa, hongera za kutosha zimuendee kapteni wa ukweli Nadir Haroub Canavaro kwa kulifanya hili jukwaa jana, leo na kesho watu tuheshimiane, manake leo wale wa mikia mirefu wameadimika humu.
 
Kesho jiandaeni kukutana na kipigo kizito, na atakaye leta msiba ni kijana rama salim.

Cannavaro tu, hakuna mwingine kama yeye. Jijini Tanga kila mtu anasema Cannavaro wengine mwisho Korogwe.
 
Cannavaro tu, hakuna mwingine kama yeye. Jijini Tanga kila mtu anasema Cannavaro wengine mwisho Korogwe.

Cannavaro mbayaaaaaa kafanya watu mpaka saa 8 za usiku wakeshe humu kutoamini.
Sasa Mkuu Makoye Matale hawa watu tuwaeleweje? Wakifungwa wanalala huku wamesimama, Yanga ikishinda mpaka saa 8 wako macho.
Yanga homa ya jiji.
 
Last edited by a moderator:
Bantu lady hivi yule jamaa anayelala akiwa amesimama jana alilala vipi?

kuwa shabiki wa mikia kweli kwa hitaji moyo wa ujasiri.
 
Last edited by a moderator:
Bantu lady hivi yule jamaa anayelala akiwa amesimama jana alilala vipi?

kuwa shabiki wa mikia kweli kwa hitaji moyo wa ujasiri.
Tena kwa hitaji moyo wa kimbumbumbu,,,
Baada ya viongozi kugundua kuwa mashabiki wa timu yao wana hasira kutokana na matokeo mabovu yanayoipata timu hiyo, na viongozi hao kujua umbumbumbu wa mashabiki wa timu yao wakaamua kutuliza munkali kwa kuwadanganya na stori za REAL MADRID kuwataka singano na isihaka kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio ya kuchezea timu ya vijana ya club hiyo tajiri duniani. Na kutokana na umbumbumbu wa mashabiki hao wa mikia wamekubali danganya toto hiyo ya viongozi wao wa timu mambumbumbu fc.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cannavaro mbayaaaaaa kafanya watu mpaka saa 8 za usiku wakeshe humu kutoamini.
Sasa Mkuu Makoye Matale hawa watu tuwaeleweje? Wakifungwa wanalala huku wamesimama, Yanga ikishinda mpaka saa 8 wako macho.
Yanga homa ya jiji.

Mkuu Bantu lady, hawa watani zetu tuwapuuze tu mithili ya Mhe. Ndugai anavyowapuuzaga wapinzani mle mjengoni.
 
Last edited by a moderator:
Cannavaro mbayaaaaaa kafanya watu mpaka saa 8 za usiku wakeshe humu kutoamini.
Sasa Mkuu Makoye Matale hawa watu tuwaeleweje? Wakifungwa wanalala huku wamesimama, Yanga ikishinda mpaka saa 8 wako macho.
Yanga homa ya jiji.

kumbe wanaipenda yanga ndo maana wanakesha!
 
Last edited by a moderator:
usinichokoze bantu lady .. we huchelew kwenda kushtak kwa wazaz. kama umeangalia au umesimuliwa vizur utagundua yanga bado haijasettle. huo ndo ukweli ukiweka mbali ushabiki. bado huoni kama kuna mpango au mpangilio wa kushambulia. wachezaji wa yanga wamekuwa wachoyo na ubinafsi sana. pengne pia mjifunze si kila mchezaji anayeacchwa au anayetaka kuachwa na simba mnamkimbilia. haya mambo nyie yasikieni tu. kuna watu wanakuja kucheza yanga ila mioyo yao ipo simba. machoni wnacheka moyoni wanalia. mi nadhani ule ushindi wa yanga ambao tuliutegemea wa goal 4 sijauona bado mayebe mpka mzkipata team ambazo zitachukua rushwa. ila kiukwel hamtakuwa na team ya kwenda kucheza michuano ya kimataifa. bantu lady. hngera kwa kushinda maana naona hata chuki zako kwangu zimeshuka kidogo. chuki nichukie roho yangu niachie dassa. jiandaeni kuja kukutana na Simba siku zijazo. si unaja ndo tatizo kubwa mlilobaki nalo? na usisahau tunawadi 5 -0 zetu jamani pamoja kuwa deni halimfungi lakini siyo kiasi hiki. maana sasa miaka inapita tu.
Bantu lady
 
Bantu lady hivi yule jamaa anayelala akiwa amesimama jana alilala vipi?

kuwa shabiki wa mikia kweli kwa hitaji moyo wa ujasiri.

Mkuu NGANU kwani hata kitanda cha kulalia anacho basi, wee huoni mara kalala huku kasimama, mara kalala uwanjani hapo unajua kuna shida sehemu fulani.
Nilisoma hapa kuwa alikesha humu, alisubiri tulale aje kama mwizi.
 
Last edited by a moderator:
kumbe wanaipenda yanga ndo maana wanakesha!

Sana mkuu cnjona ndio maana wanaanzisha nyuzi za Yanga kila muda, ulishaona thread za simba zaidi wakiwa wanacheza mechi?
Wanaipenda sana Yanga.
 
Last edited by a moderator:
sikuiona hii gemu kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…