Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wewe ungefungwa ungesema upo Sabatoni ilihali ni Jumatano
Hahahaah,,,,,,,haya mkuu
Yanga noumaaaaaaaaaaaa...............Kuna mtu jana akawa anajitamba oooh miye nimekulia pale barabara ya 11, ila kwasasa tumehamia mikunjani sijui hahahahahaaaa akijua leo Yanga tutafungwa.
Matokeo yake kawa mdogo kama nukta.
Hili jiwe gizani ukisikia yalaaa, juwa limempata mtu, sijataja mtu, kama lako hili ndimu zipo hapa.
Yanga noumaaaaaaaaaaaa...............
Kesho jiandaeni kukutana na kipigo kizito, na atakaye leta msiba ni kijana rama salim.
Cannavaro tu, hakuna mwingine kama yeye. Jijini Tanga kila mtu anasema Cannavaro wengine mwisho Korogwe.
Tena kwa hitaji moyo wa kimbumbumbu,,,Bantu lady hivi yule jamaa anayelala akiwa amesimama jana alilala vipi?
kuwa shabiki wa mikia kweli kwa hitaji moyo wa ujasiri.
Bantu lady hivi yule jamaa anayelala akiwa amesimama jana alilala vipi?
kuwa shabiki wa mikia kweli kwa hitaji moyo wa ujasiri.
Cannavaro mbayaaaaaa kafanya watu mpaka saa 8 za usiku wakeshe humu kutoamini.
Sasa Mkuu Makoye Matale hawa watu tuwaeleweje? Wakifungwa wanalala huku wamesimama, Yanga ikishinda mpaka saa 8 wako macho.
Yanga homa ya jiji.
Cannavaro mbayaaaaaa kafanya watu mpaka saa 8 za usiku wakeshe humu kutoamini.
Sasa Mkuu Makoye Matale hawa watu tuwaeleweje? Wakifungwa wanalala huku wamesimama, Yanga ikishinda mpaka saa 8 wako macho.
Yanga homa ya jiji.
Bantu lady hivi yule jamaa anayelala akiwa amesimama jana alilala vipi?
kuwa shabiki wa mikia kweli kwa hitaji moyo wa ujasiri.
Mkuu Bantu lady, hawa watani zetu tuwapuuze tu mithili ya Mhe. Ndugai anavyowapuuzaga wapinzani mle mjengoni.
kumbe wanaipenda yanga ndo maana wanakesha!
usinichokoze bantu lady .. we huchelew kwenda kushtak kwa wazaz. kama umeangalia au umesimuliwa vizur utagundua yanga bado haijasettle. huo ndo ukweli ukiweka mbali ushabiki. bado huoni kama kuna mpango au mpangilio wa kushambulia. wachezaji wa yanga wamekuwa wachoyo na ubinafsi sana. pengne pia mjifunze si kila mchezaji anayeacchwa au anayetaka kuachwa na simba mnamkimbilia. haya mambo nyie yasikieni tu. kuna watu wanakuja kucheza yanga ila mioyo yao ipo simba. machoni wnacheka moyoni wanalia. mi nadhani ule ushindi wa yanga ambao tuliutegemea wa goal 4 sijauona bado mayebe mpka mzkipata team ambazo zitachukua rushwa. ila kiukwel hamtakuwa na team ya kwenda kucheza michuano ya kimataifa. bantu lady. hngera kwa kushinda maana naona hata chuki zako kwangu zimeshuka kidogo. chuki nichukie roho yangu niachie dassa. jiandaeni kuja kukutana na Simba siku zijazo. si unaja ndo tatizo kubwa mlilobaki nalo? na usisahau tunawadi 5 -0 zetu jamani pamoja kuwa deni halimfungi lakini siyo kiasi hiki. maana sasa miaka inapita tu.
Bantu lady
fowadi zzoooote hadi canavar?Cannavaro tu, hakuna mwingine kama yeye. Jijini Tanga kila mtu anasema Cannavaro wengine mwisho Korogwe.