Bayern anaweza kushinda. Tatizo Barcelona tangu astaafu Carles Puyor beki yao iko shaky sana sioni watazuiaje muziki wa Arjen Robben, Thomas Muller and Co. Halafu Barca hawana kipa mzuri kihivyo. Pia Bayern wana wachezaji wanaoweza kwenda ng'ado kwa ng'ado na Barca kwenye midfield ambako Barca ndio huwa wanaanzishia balaa lao.
Uefa bila man u Na ac Milan hainogi!!!!( kwangu lakini)
Bayern anaweza kushinda. Tatizo Barcelona tangu astaafu Carles Puyor beki yao iko shaky sana sioni watazuiaje muziki wa Arjen Robben, Thomas Muller and Co. Halafu Barca hawana kipa mzuri kihivyo. Pia Bayern wana wachezaji wanaoweza kwenda ng'ado kwa ng'ado na Barca kwenye midfield ambako Barca ndio huwa wanaanzishia balaa lao.
Live Streaming Video Football : UEFA Champions League
[1] http://live.drakulastream.eu/players/free-live-video-streaming-uefa-champions-league-draw-football-uefa-champions-league-32121.html
[2] http://live.drakulastream.eu/players/free-live-video-streaming-uefa-champions-league-draw-football-uefa-champions-league-32122.html
asante mkuu
hahaha tatzo zimefulia msimu...ila United itakuwepo next season
Naona umeandika kiushabiki zaidi kuliko Uhalisia. Unazungumzia Bayern ya Heynkess au ya Guardiola?
Wengi hapo wanatamani wakutane na Monaco,sijui Monaco wanatamani wakutane na nani