Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Bayern anaweza kushinda. Tatizo Barcelona tangu astaafu Carles Puyor beki yao iko shaky sana sioni watazuiaje muziki wa Arjen Robben, Thomas Muller and Co. Halafu Barca hawana kipa mzuri kihivyo. Pia Bayern wana wachezaji wanaoweza kwenda ng'ado kwa ng'ado na Barca kwenye midfield ambako Barca ndio huwa wanaanzishia balaa lao.

asante mkuu nimekuelewa
 
Naona umeandika kiushabiki zaidi kuliko Uhalisia. Unazungumzia Bayern ya Heynkess au ya Guardiola?
 
asante mkuu

Hakuna haja ya kupandisha presha hapo, timu yoyote utakayopewa ni mashindano tu. Hata hivyo stage hiyo hapo hakuna wa kudhauriwa, usishangae hata Porto wakafanya maajabu, si ndio soka.
 
Naona umeandika kiushabiki zaidi kuliko Uhalisia. Unazungumzia Bayern ya Heynkess au ya Guardiola?

Unaelewa maana ya ushabiki wewe? Ningekuwa shabiki ningeandika "Bayern lazima ashinde". Nimeanza comment yangu kwa kusema "Bayern anaweza kushinda", na nikatoa sababu. Ushabiki uko wapi hapo? Kama una kumbukumbu kwenye uzi wa Messi nimetoa comment na ukani-quote sasa nigekuwa shabiki wa Bayern ningemsifia Messi? Wengine tuko neutral huwa tunaangalia mpira na sio kushabikia blindly.
 
Wengi hapo wanatamani wakutane na Monaco,sijui Monaco wanatamani wakutane na nani
 
The draws will not feature an English side for the first time in 22 years.
_81775080__81739067_englishclubs_cl_graphic.png
 
Tottenham Hotspur wameingia robo fainali ya UCL Mara nyingi zaidi kuliko arsenal katika kipindi cha miaka 5iliyopita
 
Back
Top Bottom