Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Soka la England lilipanda tokea 2004 - 2010; uwekezaji wa waarabu kwenye League 1 taratatibu limeanza kuleta joto kali kwenye EPL.
 
Duh draw nzuri Sana hii! PSG anamn'goa Barca
 
Hahahaa Atletico atamjua R.madrid nani kwny UCL. Baca mjiandae kukusanya virago
 
Hapo patamu. Hio simeoni atataka alipe kisasi kileee cha fainali.
 
10418414_941813165865146_2933347581083975229_n.jpg
 
Dah chama langu Madrid kwaheli hapo

Usiwe unaiangalia Derby kwa wasiwasi, game ya mwisho ilikuwa droo ya 2 - 2 na Real Madrid walikuwa so disapointed kwasababu goli zote za Atlètico walizipata sekunde 30 ya kila kipindi halafu the rest of the game walikuwa chini wanasubiri mipira ya vichwa watoe kona. Wale wetu, we subiri tu.
 
Natamani Barca na Bayern zikutane fainali...
anaeweza mzuia Barca ni Madrid au Bayern
the rest ni wachumba tu kwa Barca

Barca sio wazuri kivile, hata hao PSG wanaweza kuwatoa kamasi
 
Back
Top Bottom