Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

this time time hakuna team hata moja kutoka England,kwe Man United ndomwakilishi pekee wamashindano yakimataifa kwenye EPL leo hayupo nafasi yake waliochukua walikuwa makapi tuu

Hao man wameshiliki mara ngapi na wamefanyanini..!?
 
this time time hakuna team hata moja kutoka England,kwe Man United ndomwakilishi pekee wamashindano yakimataifa kwenye EPL leo hayupo nafasi yake waliochukua walikuwa makapi tuu

Ushabiki wa kindezi ndo hu,timu imeshindwa Premier itaweza Uefa.
 
Juventus ndio wamepata timu dhaifu zaidi. Hapa semi final ni kitu kisichoepukika. Kama wakifanikiwa hapo watakuwa na 90% kuchukua kombe kabisa. Timu ipo na nidhamu na spirit pia.

Timu dhaifu inafika Robo fainali? Hakuna timu dhaifu hapo,kila timu ni jiwe we subiri uone
 
Ushabiki wa kindezi ndo hu,timu imeshindwa Premier itaweza Uefa.

haaahaaaa....msimu ambao ilikuwa inasuasua ndo ilifika nusu fainal lakini yakwako iliochukua ubingwa ilishia kuminasita bora..acah hasira bwana makaptula
 
Man u sasa wako kundi moja na liverpool kusimamia history. Hahahaha.
 
mkuu naomba usiangushe machozi,wala sikuonei,ila nakueleza kiroho safi tu kwamba hii ndio list ya nusu fainali:Bayern,Barca,Atletico,Juve.

Kila kitu kinawezekana na huo ndio mtazamo wako'lakini mimi nina timu nzuri ya kucheza mpaka fainali, tusubiri tuone.
 
CAiqO-9WEAAPZ9u.jpg
 
Sijui kwa nini nahisi Juve bado hawajamalizana na Atletico!
 
huyu madrid tunaanza kumnyoa kipara pale kisimani camp nou j2 halafu aje akutane na wale jamaa wa simone kocha wenyewe kama kichaaa hivi na atletico wana hasira sana ile final ilikua imebaki just 1min tu mpira kuisha wakaja kuwashinda leo hii wanataka walipe kisasi
 
Back
Top Bottom