haya sasa Madrid Derby hyoo
Atletico Vs Real Madrid
Hahahaa Atletico atamjua R.madrid nani kwny UCL. Baca mjiandae kukusanya virago
Dah chama langu Madrid kwaheli hapo
katika mechi mbili mfululizo kina Ronaldo wamekaa kwa simone!!
Natamani Barca na Bayern zikutane fainali...
anaeweza mzuia Barca ni Madrid au Bayern
the rest ni wachumba tu kwa Barca
katika mechi mbili mfululizo kina Ronaldo wamekaa kwa simone!!