1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
[emoji849]Mkuu nifundishe kucheka, JF
Hapo kene nidhamu upo sahii !Hanaga rafu za kijinga nachompendea na ana nidhamu ya hali ya juu.
Kuna watu huwa hawana nidhamu akiwemo mkunde
Ila katika kutoa pasi za mwisho, amekuwa mzito.Hanaga rafu za kijinga nachompendea na ana nidhamu ya hali ya juu.
Kuna watu huwa hawana nidhamu akiwemo mkunde
Kweli tena.[emoji849]
Usinishangae kabisa.[emoji849]
Kafanyaje !?!Elius maguri[emoji16]
Hatumuogopi, tunae Onyango.Elius maguri[emoji16]
Safi sana, Mkuu. Wewe ni mzalendo.Kila la kheri mtani
Uwahi bandani.Kila la kheri mtani
Emoji tuUsinishangae kabisa.
Nguvu moja leo ushindi lazima tunpiga hapo hapo kwao huyo Platinum.
Kikosi kikiwa hivi itakuwa bora Sana
1 Beno Kakolanya
2 Shomari Kapombe
3 Zimbwe JR
4 Onyango
5 Wawa
6 Erasto Nyoni
7 Hassan Dillunga
8 Jonas Mkude
9 Made Kagere
10 CC Chama
11 Luis Miqussion.
Ni kweli mkuu wanaweza kucheza na Kama ikatokea Bocco yuko fit basi lazima ataanza yeye then Kagere atakuwa sub.Mkuu, kati ya Bocco au Manula aidha watacheza wote au atacheza mmoja.
Kumbuka taarifa inasema kucheza kwao ni 50/50.
Naipataje mkuuEmoji tu
Nzuri pia mkuu.Ni kweli mkuu wanaweza kucheza na Kama ikatokea Bocco yuko fit basi lazima ataanza yeye then Kagere atakuwa sub.
Toa wazo jingine.Ni kweli mkuu wanaweza kucheza na Kama ikatokea Bocco yuko fit basi lazima ataanza yeye then Kagere atakuwa sub.
Huwa nahangaika sana sana, kuitumia .Emoji tu
Magoli yake magumu, hawezi pata nafasi kwa beki za Simba SC.Anafunga 2
Simba SC, Baba lao.Anafunga 2