Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Nguvu moja leo ushindi lazima tunpiga hapo hapo kwao huyo Platinum.

Kikosi kikiwa hivi itakuwa bora Sana

1 Beno Kakolanya
2 Shomari Kapombe
3 Zimbwe JR
4 Onyango
5 Wawa
6 Erasto Nyoni
7 Hassan Dillunga
8 Jonas Mkude
9 Made Kagere
10 CC Chama
11 Luis Miqussion.
Mkuu, kati ya Bocco au Manula aidha watacheza wote au atacheza mmoja.

Kumbuka taarifa inasema kucheza kwao ni 50/50.
Ni kweli mkuu wanaweza kucheza na Kama ikatokea Bocco yuko fit basi lazima ataanza yeye then Kagere atakuwa sub.
 
Back
Top Bottom