Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #161
Mkuu sijaangalia kwani tayari Kesha toa kikosiNaona mkuu kama vile ulikuwa na kocha[emoji851][emoji851]
TayarMkuu sijaangalia kwani tayari Kesha toa kikosi
😂😂 Kwa kikosi hiki nina matumaini makubwa Sana ya kupata ushindi leo hapo Platinum inabidi wawe na mbinu mbadala la sivyo wapigwa kwao hapo hapo.Haya sasa.View attachment 1657648
KabisaTofauti ni kipa tu.
Pisi kali zitoke me naanzaje jamaniKaribu Pisi Kali.
Nimeona mkuu yani hapo tusiwe na wasi kabisa ushindi upo na hata Kama wakiwa wagumu kiasi gani basi hata sare tutapata, Cha kuomba Mungu ni wachezaji wawe katika viwango vyao bora tu leo.Tayar
shida yenu hamkawii kuuukimbia uzi mkabadili na majina.Tafadhali tuwe pamoja
Mkuu
Yule ni mtanzania mwenzetu na anataka Taifa Stars.Mungu mbariki homeboy maguli
VPL TODAY 23 DEC 2020.
(Match yakutazamwa)
Match, 17
1500Hr: Ihefu FC v Dar Young Africans.
('Mechi' ya mwisho, 'round' ya kwanza.)
Venue: Sokoine Stadium, MbeyA.
Waombee dua ya afya tu ya ushindi unajisumbuaKila la kheri Platnam fc. Chama la Wana.