Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Haya sasa.
IMG-20201223-WA0008.jpg
 
Unaharibu Uzi Sasa.
Hao utopolo umewaweka wa nini?
Timu yenyewe mbovu
VPL TODAY 23 DEC 2020.

(Match yakutazamwa)

Match, 17

1500Hr: Ihefu FC v Dar Young Africans.

('Mechi' ya mwisho, 'round' ya kwanza.)

Venue: Sokoine Stadium, MbeyA.
 
Utopolo wanajipendekeza kwa timu za nje lakini tukifanya yetu zinapatikana nafasi za viti maalumu hawaziachi
 
Wakuu mwenye link ya kuangalia hii game kwa tulio mbali na runinga.
 
Back
Top Bottom