Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Na mtu mwenyewe namjua maana ndo zake kudondosha gari. Natamani nimtaje lakini naogopa kutukanwa mie..... Si ushamjua??
Shuhudia mwenyewe matusi yake
Dah,hata mimi naogopa kumtaja Madame B kuwa ndiyo mhusika!
Hv jamani eee!!
Nani ananichokoza?
We MzunguMndali na Asprin tukikutana Brajec lazima niwanyonyoe bila maji moto.
Hahahaha Mswali mengine bana? Yaani kabisaaaaa unaulizia nywele saluni?
Kumbe ni leo? Duh!
Fuata moyo wako unavyokutuma, yaani Asproo
Utakuwepo kwenye tukio mkuu..??
Siwezi kukosa yani tumejaa tele hapa
what is a dressing code for tonight's get together? Tutatambuanaje? Naomba nieleweshwe ili nije na shemeji yenu mzee wa malaptop hadi kuangalia mpira