Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Jamani HQ ya JF iko Makorora kwetu Tangaaaaaa.
Makorora kwa fundi Sudi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani HQ ya JF iko Makorora kwetu Tangaaaaaa.
Masikini Ruttashobolwa!
Daaaaah huwezi amini Madame B kaniliza
.......pole sana loya....vumilia tu ndo ukubwa huo.....
Watu wa Dar unawajua???Wakuu nimefika,naomba muongozo!!!
Watu wa Dar unawajua???
Hawachelewi kukuacha ferry ushangae panton oooh
Kweli watu wa Dar balaa. mimi niliamini ati..
Watu wa Dar unawajua???
Hawachelewi kukuacha ferry ushangae panton oooh
Shem wangu Erickb52 hujakosea!Nilijua nimechelewa sana ila mh...hapa hakuna wenyeji!!Nachoshukuru ni kwamba niko na kampani kwa hiyo tunaendelea kupata moja mbili tatu,hali ya hewa safi sana,then tuchape mwendo!!!
Pole aisee si tunaponda raha jijini km kawaidaShem wangu Erickb52 hujakosea!Nilijua nimechelewa sana ila mh...hapa hakuna wenyeji!!Nachoshukuru ni kwamba niko na kampani kwa hiyo tunaendelea kupata moja mbili tatu,hali ya hewa safi sana,then tuchape mwendo!!!
Heheee ila watajifunza toka kwetu wazee wa jiji...la Arusha
Usiondoke niko hapa Mlimani City.
Pole aisee si tunaponda raha jijini km kawaida