Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Mai weeee, kumbe mama Ngina alinisachi... walleti...!
Hapa naona kama vile hakitaeleweka, nijiondoe kabla sijavuliwa suruale
]
 
Ndo nimefika survey hapa naona maandalizi sio mabaya, kreti za bia zinaingia ndani tayari kwa kupangwa kwenye fridge and freezers tayari kwa chit chatters jion hii..

Mbuzi na bata kazaa naona nao wanatoka machinjion wanaingia ndani..

Mi ndo nimefika hapa mapema kwa ajili ya kupata supu na kwenda kwenye mihangaiko ya wekend na imani hiyo jion ya leo patakuwa hapatoshi..

Mbona sikuoni, niko hapa kwenye RAV 4 ya kijanin naongea na simu.

niomevaa fulana nyeusi imeandikwa OBAMA na suruali ya kitambaa ya kijivu
 
sikuwa najua hii kitu......................................:A S angry::A S angry::target::target:
 
Mkuu Nicas Mtei, USISAHAU KUJA NA WINE OPENER. hawa jamaa wakituazima yakwao watatu charge Cockage.................
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa amekaa kaunta na shati la pinki sijui ndiye Asprin...!@

Hahahahaha! Jaribu tena baadaye.

On serious note leo mmenipata. Babu kikongwe nimetia timu hapo nikaona holaaaa. Nimejisepea zangu napiga ulabu hapa calabash!!
 
nipo kwenye folen hapa Ubungo. Natokea Chalinze kuchukua gongo.. Ntawakuta Brajec
foleni+bongo.jpg
 
Back
Top Bottom