Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Watu wa Dar unawajua???
Hawachelewi kukuacha ferry ushangae panton oooh

Shem wangu Erickb52 hujakosea!Nilijua nimechelewa sana ila mh...hapa hakuna wenyeji!!Nachoshukuru ni kwamba niko na kampani kwa hiyo tunaendelea kupata moja mbili tatu,hali ya hewa safi sana,then tuchape mwendo!!!
 
Last edited by a moderator:

Usiondoke niko hapa Mlimani City.
 
Last edited by a moderator:
Shem wangu Erickb52 hujakosea!Nilijua nimechelewa sana ila mh...hapa hakuna wenyeji!!Nachoshukuru ni kwamba niko na kampani kwa hiyo tunaendelea kupata moja mbili tatu,hali ya hewa safi sana,then tuchape mwendo!!!
Pole aisee si tunaponda raha jijini km kawaida
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…