mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
huu uzi mbona siuelewi :nimekataa figganigga mzee wa mitaa upo?
je wewe unaelewa kinachoendelea hapa?:bowl:
kwani Madame B wapo wangapi humu. Mi nnachojua yupo Mwanza!!
Vikamera vyetu havina tochi, i mean havina flash
kwani Madame B wapo wangapi humu. Mi nnachojua yupo Mwanza!!
kwani Madame B wapo wangapi humu. Mi nnachojua yupo Mwanza!!
huu uzi mbona siuelewi :nimekataa figganigga mzee wa mitaa upo?
je wewe unaelewa kinachoendelea hapa?:bowl:
Yani hunishindi mimi Mrembo.
Yani kwa kweli roho yangu imesuuzika vilivyo mamii mara tu nilipokuona,u mrembo mamii,wacha nikusifie.
Ila usisahau yale maujumbe yangu kuleeee...
Asante sana Mamito!!!
Maujumbe yako ntayafikisha,,,!!!!Mwaaaa!!!
kwani Madame B wapo wangapi humu. Mi nnachojua yupo Mwanza!!
...mko 6 tu?..
2shafka 8
Mmwaa....!!!!!
Mamito,eti nimeambiwa unarudi hapa Brajec,eti ni Kweli.
Mpenzi wangu,nakupenda.
2shafka 8
Mie hamnihesabu au!??