Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni mkesha eeh? Tumia hela ikuzoee.
Yan we ndo tu wewe tu umekosekana daddy
Umeona ehh... Yan hapa full maraha!
Afu wewe?Umeona ehh... Yan hapa full maraha!
Afu wewe?
Kwanini uligoma kukaguliwa na babu? Nuksi nyingine unajitakia mwenyewe ujue............ shauri zako!
he he he.....wana Chugga ndo kumekucha.....nini Brajec.....wote chali.....kudadadeki.....Chugga hoyeeee......
Hehehehehe! Sijawahi kuona binti mwoga kama wewe. yaani hata kumsindikiza babu maliwatoni nayo waogopa..... Khaaaa!!babu ca nilikwambia twende unikague ukakataa
Oooyeeeee!? Dar hakuna lolote! Maneno mingi, sound mvua! JF ipo Arusha bana!!!!!
Basi kumekuchwa manake na mie ibada naingizia hapa hapa.
he he he.....wana Chugga ndo kumekucha.....nini Brajec.....wote chali.....kudadadeki.....Chugga hoyeeee......
wapi Madam B.......nani alifunikaaaa.......
Preta shostito ngoja tu niwe muwazi,japo nitasakamwa kwani nitakuwa natoa siri za Kampuni.
Shosti bwana Wana Jf wa Dar WANAOGOPANA...!!!
Ndio MNAOGOPANA,mnaniangalia nini?
Yani mimi nawaona wasichana Majasiri na wenye utayari wa jambo lolote kwa hapa Dar upande wa Jf ni mimi hapa Madame B, cacico, gfsonwin na snowhite,
lakini waliobaki ni AmbuAmbu,
Mnaweka mikakati kibao lakini at the end mnajikuta mko wa 4 au 5.
Hebu pata picha jana,members kibao walisema watakuja Brajec, lakini matokeo yake tumekuja Mimi,
marejesho(huyu wa Arusha),
cacico, charminglady(huyu wa Mwanza),
Mtambuzi, nicas Mtei, Asprin, mathematics full stop.
Maneno meengi,utekelezaji ZIRO.
Nimeshamuagiza shost angu marejesho kuwa anisajili jina langu huko Arusha,
Chama la Dar limenishinda.
MNIACHE, nahamia AraChuga, wa Dar Mmeniboa.
Eboooo....!!!
Aliyefunika jana alikuw ni charminglady kwani aliniPM kuwa yuko Mwanza nami nikajimaliza na uongo wangu wooote wa Kisambaa na Kifipa,kumbe mtu yuko hapa kiti cha Pili,tena nikawa najifanya kuongopa laivulaivu.
Anatuma PM, nami najibu,huku mbavu zamkauka kwa kicheko.
Looo...!!!
Mida ya utambulisho inafika,almanusura nizimie kumbe Mtu aliesema yuko Mwanza kumbe niko nae pale pale.
We charminglady,suprise nyingine hazifai,watu tuna BP, CAMEL na ENGEN....!!!