Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

ninyi wana CC mliopo brajec, hiyo makitu inaisha muda upi?
 
he he he.....wana Chugga ndo kumekucha.....nini Brajec.....wote chali.....kudadadeki.....Chugga hoyeeee......

Hoyeeeee! Preta tawi letu la JF Dar wanabeep kupiga wanashindwa...aibu zao kudadadeki.
 
Last edited by a moderator:
wapi Madam B.......nani alifunikaaaa.......
 
Last edited by a moderator:
babu ca nilikwambia twende unikague ukakataa
Hehehehehe! Sijawahi kuona binti mwoga kama wewe. yaani hata kumsindikiza babu maliwatoni nayo waogopa..... Khaaaa!!

By the way, kwanini uliamua kumfanya babu yako zuzu? Ulijisikia raha eh??
 
Oooyeeeee!? Dar hakuna lolote! Maneno mingi, sound mvua! JF ipo Arusha bana!!!!!

Umeona eh? Kwahiyo yale machimbo yote uloyapitia enzi za Prof Kondoro nayahamishia Arusha kudadadadadeki!!
 
wapi Madam B.......nani alifunikaaaa.......

Preta shostito ngoja tu niwe muwazi,japo nitasakamwa kwani nitakuwa natoa siri za Kampuni.
Shosti bwana Wana Jf wa Dar WANAOGOPANA...!!!
Ndio MNAOGOPANA,mnaniangalia nini?

Yani mimi nawaona wasichana Majasiri na wenye utayari wa jambo lolote kwa hapa Dar upande wa Jf ni mimi hapa Madame B, cacico, gfsonwin na snowhite,
lakini waliobaki ni AmbuAmbu,
Mnaweka mikakati kibao lakini at the end mnajikuta mko wa 4 au 5.

Hebu pata picha jana,members kibao walisema watakuja Brajec, lakini matokeo yake tumekuja Mimi,
marejesho(huyu wa Arusha),
cacico, charminglady(huyu wa Mwanza),
Mtambuzi, nicas Mtei, Asprin, mathematics full stop.
Maneno meengi,utekelezaji ZIRO.

Nimeshamuagiza shost angu marejesho kuwa anisajili jina langu huko Arusha,
Chama la Dar limenishinda.

MNIACHE, nahamia AraChuga, wa Dar Mmeniboa.
Eboooo....!!!

Aliyefunika jana alikuw ni charminglady kwani aliniPM kuwa yuko Mwanza nami nikajimaliza na uongo wangu wooote wa Kisambaa na Kifipa,kumbe mtu yuko hapa kiti cha Pili,tena nikawa najifanya kuongopa laivulaivu.
Anatuma PM, nami najibu,huku mbavu zamkauka kwa kicheko.
Looo...!!!
Mida ya utambulisho inafika,almanusura nizimie kumbe Mtu aliesema yuko Mwanza kumbe niko nae pale pale.

We charminglady,suprise nyingine hazifai,watu tuna BP, CAMEL na ENGEN....!!!
 
Haya niambie, inakuwaje simu akikupigia kaka yako network inapatikana mezani lakini simu nyingine network unaipatia kwenye fensi au toilet?
 
Back
Top Bottom