Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Maskini Madame B! Angejua angeenda hata Ferri kushangaa Kigamboni! Katoka Chanika hadi Mlimani akajikuta mwenyewe! Pole dear! Lol

Shem wangu Filipo yani hyo jana bora hata ningeenda zangu Njenje nikakate zangu nyonga,
Mtu natoka Kino to Brajec afu nakuta ndivyo sivyo.
Asante mwaya.
 
Last edited by a moderator:

Pole sana Madame B! Karibu sana Arusha! JF HQ.
 
Last edited by a moderator:
Shem wangu Filipo yani hyo jana bora hata ningeenda zangu Njenje nikakate zangu nyonga,
Mtu natoka Kino to Brajec afu nakuta ndivyo sivyo.
Asante mwaya.
Afu jana si tulikubaliana usioge? Ikawaje tena umekuja unanukia mipafyumu ya Paris?
 
Hehehehehe! Sijawahi kuona binti mwoga kama wewe. yaani hata kumsindikiza babu maliwatoni nayo waogopa..... Khaaaa!!

By the way, kwanini uliamua kumfanya babu yako zuzu? Ulijisikia raha eh??

raha saaaaana!!!!
 
Haya niambie, inakuwaje simu akikupigia kaka yako network inapatikana mezani lakini simu nyingine network unaipatia kwenye fensi au toilet?

Heee we Babu nawe mmbea, unataka usikie ninachoongea na mabwana zangu ili iweje,kwani jana si nimekwambia?
Mwenzio nimetoka home nimedanganya kuwa kuna rafiki angu kalazwa kwa Kairuki.
Asa unafikiri na mziki ule ningeelewekaje?
Khaaa...!!
Ile Gin uliimaliza?
Afu yule rafiki yako ni Mwana Jf,lakini mbona hakutaka kujitambulisha?
Mwambie nitamchapa na chapio manyoya.
 
nashukuru Madam B kwa kukiri kuwa mlifunikwa.....sisi walitokea wote kama ilivyopangwa.....na tulikula bata mbaya mpaka monii......Chugga chama kubwa bana........karibuni wote mnaohitaji usajili wa kudumu.........
 
Last edited by a moderator:
nashukuru Madam B kwa kukiri kuwa mlifunikwa.....sisi walitokea wote kama ilivyopangwa.....na tulikula bata mbaya mpaka monii......Chugga chama kubwa bana........karibuni wote mnaohitaji usajili wa kudumu.........

Asante Preta,ndo naja hvo.
 
Last edited by a moderator:
Madame B yan mwenzio ckuwa na mbavu jana... at the first time nimewaona mwenzio nilikuwa nabanaje kicheko? sasa wakati kafika Aspirin ndo kabisa nilikuwa nainama chini kucheka...
Jamani am happy to see u!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Maskini, umedanganya ukitegemea utakuja kukutana na mibuzi ya JF Dar, kumbe mibuzi yenyewe tumebaki mababu tu.... Hehehe yule ni mwanaJF mkongwe na kwa kawaida huwa hapendi kujitambulisha. Ila jana alifurahi kuwaona lakini alishangaa waliofika ni wachache pamoja na promo loooote lile. Ile Gin si alitambaa nayo cacico? Mtoto anavyopenda pombe.....Khaaaa!!
....sikutokea mahome,
Nilitoka chobingo,hvo kuoga muhimu.
Ila Babu acha Pombe,
tutakuvua nguo siku moja.
Kaka yangu anafanya kazi TBL. Nikiacha pombe mshahara atapataje? Watoto wake atawasomeshaje?

Nakunywa BIYA kwa malengo shosti.....
 
Last edited by a moderator:
Madame B yan mwenzio ckuwa na mbavu jana... at the first time nimewaona mwenzio nilikuwa nabanaje kicheko? sasa wakati kafika Aspirin ndo kabisa nilikuwa nainama chini kucheka...
Jamani am happy to see u!!!!!
Kwahiyo wakati nakusalimia kwa jina la marejesho ulijisikia raaaaha! Ntakuchapa nakwambia!

Kiukweli nimeikubali surprise yako. babu pia kafurahi kukuona. Sasa kaa mkao wa kukaguliwa ili ukirudi Mwanza vijana wawe na uhakika.
 
Last edited by a moderator:
Madame B yan mwenzio ckuwa na mbavu jana... at the first time nimewaona mwenzio nilikuwa nabanaje kicheko? sasa wakati kafika Aspirin ndo kabisa nilikuwa nainama chini kucheka...
Jamani am happy to see u!!!!!

Ila we mbaya!
Umejikausha kauu!!
Dah! Haijawah kutokea shosti.
 
Last edited by a moderator:

We nawe?
Mibuzi ya siku hz mnachunika?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…