Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Mtambuzi leo ni jumangapi? Uko na charminglady hapo au mlevi cacico?Mkuu ndio naamka, jana nilipitia mahali flani kulikuwa na KIGODORO, Duh, ahsante kwa lunch maana nilikuwa naubao mbayaaaa...
halafu hyo binti charminglady mie nilimjua tangu awali na nikawaambia lakini mkanipuuza... chezea Telepathy nyie, na yume mkuu aliyekyja na ODM Mzee Asprin nilimtambulisha kwenu akanikanyaga mguuni kunizima, Je mlimtambuaaa, au Brandy ilishawapanda vichwani?
Niulizeni niwakumbushe, alikuwa ni mtu muhimu kumjua katika eneo lile........ANAHUSIKA SANA NA JF
Filipo anahisi ufalme wake upo mashakani kwa marejesho, maana sweetlady hatabiriki kama kusubiri matokeo ya Simba, yaani sitaki nataka.
Mkuu leo ni Ijumaa.
Niko peke yangu, nategeshea mdada wa JF atakayekuja pande hizi.................
Hahahaha
Una wake wangapi wewe???. Heri mimi ambaye sijui mambo hayo nitapata mke bora hapa jukwaani kama Blaki Womani. Namuogopa Preta anaweza kuniacha Kericho nikakamatwa na kuwekwa jela kama Mungi nisijue la kufanya kama PakaJimmy ambaye mpaka abebwe ndiyo ashituke!!!!
Sasa hivi, hebu njoo upesi pande hizi tusongeshe..........
Pole Madame B mpenzi, juzi kumbuka nilikwambia kuja Arachuga urudi juma4 ukagoma! Heri ulionana na charminglady.
Yan unazungukaaaaa sema umerithishwa Blaki Womani baada ya Arushaone kujitoa JFUna wake wangapi wewe???. Heri mimi ambaye sijui mambo hayo nitapata mke bora hapa jukwaani kama Blaki Womani. Namuogopa Preta anaweza kuniacha Kericho nikakamatwa na kuwekwa jela kama Mungi nisijue la kufanya kama PakaJimmy ambaye mpaka abebwe ndiyo ashituke!!!!
Yan unazungukaaaaa sema umerithishwa Blaki Womani baada ya Arushaone kujitoa JF