Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Mkuu ndio naamka, jana nilipitia mahali flani kulikuwa na KIGODORO, Duh, ahsante kwa lunch maana nilikuwa naubao mbayaaaa...

halafu hyo binti charminglady mie nilimjua tangu awali na nikawaambia lakini mkanipuuza... chezea Telepathy nyie, na yume mkuu aliyekyja na ODM Mzee Asprin nilimtambulisha kwenu akanikanyaga mguuni kunizima, Je mlimtambuaaa, au Brandy ilishawapanda vichwani?

Niulizeni niwakumbushe, alikuwa ni mtu muhimu kumjua katika eneo lile........ANAHUSIKA SANA NA JF

hahaha. Ila charminglady alijikausha kchz. Nlishakuckia ukimtaja.

Yule alyekuwa na Asprin si Baba V?
 
Last edited by a moderator:
Sad to have missed the day aisee...nway...there is always a nextym.
Swali kwa Mtambuzi na snowhite: kwakuwa hiyo jana hapakua na msiba, je, ni kisingizio gani mlitumia kwenda kupiga cha fasta-fasta? cacico dadangu unasalimiwa na mashemeji zako. Madame B natumai hukwenda huko na kina lara 1 wale wa siku ile.
Bro Nicas Mtei, mzima lakini? Unasalimiwa na shemeji yako tumepiga viduku sana nmechoka kesho siendi kwenye ujenzi wa taifa...natumai jana ulijipatia 'house girl'

hahahaha nlikukumbuka kijana.. Jana ckupata haus gel. Msalimie Mama J.
 
Last edited by a moderator:
hahaha. Ila charminglady alijikausha kchz. Nlishakuckia ukimtaja.

Yule alyekuwa na Asprin si Baba V?
Hahahahaha........ Atawashangazeni siku moja....

Duh, na Binti yangu tena....!
Kunahaja ya kufanya Introduction aisee.............

Hebu, ODM Mzee Asprin njoo pande hizi uwatambulishe mabinti zangu, kabla sijatukanishwa humu.....Loo
Popote mlipo King'asti na Cantalisia. mkuje pande hii, baba yenu Mtakatifu Mtambuzi anazushiwa ugoni wa kifataki.
 
Last edited by a moderator:
asalam aleykum! ile whisky imefanya maini yangu hayakipi rangi choo kuanzia jana! Mtambuzi utatuua!
 
Last edited by a moderator:
longo longos super sound.......mkuje hapa mueleze masahibu gani yaliwakumba.........kwa nini hamkutokea Brajec......
 
Back
Top Bottom