Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Usihofu shem. Ila [MENTION=75985]Arushaone m'tata!? Wewe, Preta, Blaki Womani, na jana kamwona flower akapagawa! Mbona kazi mnayo!


Filipo umeanza lini kuingia kwenye hilo kundi la wanafki? Madame B usidanganyike mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
Eti Mtambuzi leo ni jumangapi? Uko na charminglady hapo au mlevi cacico?
 
Last edited by a moderator:
Sad to have missed the day aisee...nway...there is always a nextym.
Swali kwa Mtambuzi na snowhite: kwakuwa hiyo jana hapakua na msiba, je, ni kisingizio gani mlitumia kwenda kupiga cha fasta-fasta? cacico dadangu unasalimiwa na mashemeji zako. Madame B natumai hukwenda huko na kina lara 1 wale wa siku ile.
Bro Nicas Mtei, mzima lakini? Unasalimiwa na shemeji yako tumepiga viduku sana nmechoka kesho siendi kwenye ujenzi wa taifa...natumai jana ulijipatia 'house girl'
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

hah hah hah hah! Hii nimeipenda sana!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…