Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Watu wamejiandaa kweli kweli!
Nilishatoa tahadhari kwamba ntazamia,na nashukuru Madam B kwa kunipa kibali!
Babu Asprin utakuwepo?Ule ukaguzi wa awali si twaeza fanya leo babu?BTW Filipo atakuwa busy kule Arusha na sweetlady!!
 
Last edited by a moderator:
kwani jamani huyo Madame B ndo nani mbona simfahamu?. hata sijawahi muona!.
Mwenyewe leo nataka nipate demu pale mlimani city. kama sio Ciello sijui nani. Usitake leo nikakosa kimwana bure akidhani nipo na huyo ulomsema. Usiniharibie soko mkuu. Nicas Mtei upo dar leo? mia

Bora umwelezee huyo.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana Madame B ndo unamtosa Ruttashobolwa?
13.jpg
 
Last edited by a moderator:
kwani jamani huyo Madame B ndo nani mbona simfahamu?. hata sijawahi muona!.
Mwenyewe leo nataka nipate demu pale mlimani city. kama sio Ciello sijui nani. Usitake leo nikakosa kimwana bure akidhani nipo na huyo ulomsema. Usiniharibie soko mkuu. Nicas Mtei upo dar leo? mia

nipo Dar tayar figganigga. We utakuwepo Brajec?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom