Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Nilisema kuna watu watakimbia jukwaa..,.
Hakuna goli hapa mana Uwanja hauitaji ufundi bali bahati tu hivyo yoyote anaweza kufungwa
Hilo halina ubishiTambwe katupa la bonasi..ubingwa njia nyeupeee
Lazima wakimbie na kesho tunao!
Mgambo 0 - watani 1
Tambweeee
Mgambo 0-2 Yanga
Assist ya Golden boy Msuva
Ndiyoooooo
Nani wa kutuzuia kuchukua ubingwa? Yanga nakupendaje mimi.
Ahsante wachezaji wetu wa Yanga, huwa hamtuangushi kamwe...
Hongereni, ila hatuwezi kukimbia jukwaa.
Ukiwa shabiki wa yanga siku zote raha
Ukiwa shabiki wa yanga siku zote raha