Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

Results Mgambo 0 - Yanga 2 Ngoja sasa tutizame uchambuzi wa Edo na Mayai mechi hii live AZAM TV2 AZAM Media Flash Page

Simon Msuva na Amis Tambwe waunaji wa Yanga.

Kesho timu yetu ya AZAM vs Coastal inashuka hapo hapo Mkwakwani.
 
Ata Simba mara mojamoja ni raha kama hivi.


http://shaffihdauda.co.tz/okwi-aibeba-simba-taifa-aifunga-yanga-1-0/

Hata mgambo raha siku moja moja kama hivi

http://shaffihdauda.co.tz/simba-yagongwa-virungu-viwili-na-mgambo-ivo-alambwa-kadi-nyekundu/
 

Mashabiki wa MGAMBO WAKIINGIA LEO MKWAKWANI!!!
 

Attachments

  • mgambo+wakiingia+(2).JPG
    6.3 KB · Views: 445
Pointi Tatu muhimu kibindoni tunaendelea kukalia kiti cha uongozi wa ligi. Na huu moto hauzimiki hadi tunachukua ubingwa wa Tanzania.

Mikia fc a.k.a wa mchangani waendelee kugaragazwa na migambo pamoja na wapiga bebe wakati sisi tunaelekea kwenye ubingwa.
 
Mkuu Vipi Ngasa hachezi leo au ana kadi 3 za njano au anaumwa?
Huyo hapo akiwa mkwakwani leo akiishuhudia timu yake dhidi ya mgambo.
anasumbuliwa na maumivu ya mguu!!!
 

Attachments

  • ngassa+nje.JPG
    15.1 KB · Views: 292
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…